Duration 15:25

ALIYEPIGWA NA MUMEWE KISA MCHEPUKO APEWA TALAKA/BAADA YA KWENDA KUMUOMBA MCHEPUKO AMUACHIE MUMEWE

27 481 watched
0
288
Published 30 Jul 2021

Ni yule dada wa Tandale ambaye alipigwa na mumewe na majirani zake wakaamua kwenda kumsikindiza kwa mchepuko wa mumewe ili waweze kumuomba amuachie mwezie mumewe ili aishi kwa amani na watoto,Na baada ya kwedna kule yakatokea yale yaliyotokea. Sasa jana Mume ameamua kumpa mkewe talaka na kugawana vitu pamoja na makubaiano mbalimbali ya kisheria. Fwatilia hapa uweze kujionea mambo yalivyokuwa Lakini mbali na hivyo Mwanake huyo anahitaji msaada ili aweze kwenda kupangisha chumba aishi na watoto kwa yeyote atakayeguswa unaweza mtumia kupitia namba yake 0784 569497 jina Salum Fundi #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Category

Show more

Comments - 363