Duration 12:57

GHETTO LA KWANZA LA HARMONIZE KIJIJINI KWAO / SIJAZALIWA TAREHE 3 OCTOBER

1 945 483 watched
0
8.8 K
Published 16 Mar 2019

@harmonize_tz Akituelezea Safari Nzima ya alivyokuwa akiishi kijiji kwao na nini amepanga kubadilisha kijijini kwao,amepiga story nyingi na @motown_sanya #wasafi#motown_sanya

Category

Show more

Comments - 1082
  • @
    @azizamkindi17845 years ago Bora anapeleka mpenz wake nyumba kwao sio wengine wanaongopa naomben like zen umefanya kitu kizuri. 778
  • @
    @antoinebakevya89115 years ago Congrats and happy birthday my favorite artist. 3
  • @
    @saidahj25435 years ago Real men never fake life. Ako muwazi na familia yake ameweka ustarmazuri na wazazi majirani nalove harmonize. 16
  • @
    @mevicesifuna21347 months ago 2023 watching this i love you harmonize. 1
  • @
    @gordonobado53595 years ago Kuonyesha ulimwengu ulikotoka si sualagrateful to appreciate your background. 43
  • @
    @felixmagulu61423 years ago Hongera sana konde boy kwa kuenzi maisha ya kijamaa pia kwa kukumbuka nyumbani uliko toka, hizo ni baraka brother. 6
  • @
    @angelinajolly18265 years ago Harmonize may god bless you.
    you are a real man.
    5
  • @
    @joharajohara43555 years ago That' s greatproudly of your village. 2
  • @
    @Mzee_Kobe2545 years ago Tokea seattle, washington. Bado tuko na we kijijini. Like what you doing bruh. Kipeth real forever. Happy birthday! 23
  • @
    @lareinemere13295 years ago I very appreciate harmonize you keep your dad company love you. 2
  • @
    @somoemmanu35135 years ago Nimefurah kuona yupo happy na baba yake km rafiki yake hongera rajabu. 228
  • @
    @thomasponera60185 years ago Konde boi you are amazing guy, uko real sana mungu akubarki. 89
  • @
    @daniellamaellysp.34485 years ago I don' t understand anymore but just saying i love them, harmonize lavalava, rayvann, diamond, big up bro' s. 2
  • @
    @alexndombondombotermo58415 years ago Konde boy big up i' m one of your supporters from beira mozambique. 10
  • @
    @mwajumaally29185 years ago Mashallaha rajabumungu azidi kukupa ela usidi kujenga kwenu. 25
  • @
    @TheSudMedia4 years ago Sarah didn' t react when harmonize said i was born here. God bless my brother with a queen! Melbourne, australia. 5
  • @
    @eliaturinayo63755 years ago Happy birthday to you brother harmonize. 6
  • @
    @khadijaqatar90805 years ago Mashallah mungu akubarik uzid kutimiz ndoto zako inshallah. 23
  • @
    @khadijamadry78225 years ago Hamornize uwe na moyo huo hup wa kuthamin wazaz wako muache mond alemee upande mmoja big ap sana kaka allah atakulipa kheri mbona ukijenga hapo kweni hizo vila swawabu nying sana. 5
  • @
    @wegochannel10135 years ago Its so amazing watching u moving back home with your fiance, though she is alittle bit scared but she looks happy. 9
  • @
    @hawata76145 years ago Ma sha allah hongera kaka ang mung akufikishe sana. 16
  • @
    @esthjohn5455 years ago U can put this place in the big history. Deve fazer tudo por tudo por num grande histria da sua vida.
  • @
    @madolovetanzani2485 years ago Hale nmekuwa watono kuko menti naomben like zangu. 146
  • @
    @zakyahya46455 years ago Safa wewe mashallah uko na mapenzi ya kweli yani uko unaosha masufuria ya jiko la kuni mh honger. 6
  • @
    @kwemboilenatuganda96315 years ago This guy is proud of his village en his parents thanks nro. 7
  • @
    @user-qs9rn2je4c5 years ago Du uko vizuri km jina lako hongera sana. 1
  • @
    @benikotitus9695 years ago Very much surprised with this tour- harmo you have adopted the brish features this is due to high exposure obtained after different tours you made out of this tanzania. 1
  • @
    @anetaaneta12165 years ago Wow kwni tulisherekea pamoja na ww pia mm bathday yangu ilikuakaka yani hauringi kama wengine wah mungu akujalie mafanikio mema am from. 1
  • @
    @edwardnjiuka74035 years ago Dogo harmonize upo sawa sana nyumbani ndiko kwenye baraka zote na wasanii wengine waonyeshe nyumba walizozaliwa huko vijijini kwao wengi hawawezi maana wanaogopa kudhalilika big up sana dogo. 15
  • @
    @salimkhamis36385 years ago Huyo anayeripoti hii habari anaonekana siowa mambo ya habari, yaani anashindwa kukabiliana na mazingira ya kijijini katika ufikishaji na hata uulizaji wake wa masuali. Kwa mfano baadhi ya sehemu kamakwa shangazi zake hakutakiwa kutumia jina labali atumie rajab ambalo ndo linatambulika huko. Eti anamuuliza shangazi yake, " shangazi umemuona. ...Expand 1
  • @
    @buraimoselemaneselemaneabu75245 years ago Muito bom senhor harmonize gostei muito no mem tiu nem pouco para sua esposa. 3
  • @
    @johnnyzilla64995 years ago We ni star wa kweli unakumbuka palipo kukuza big up chali. 1
  • @
    @ibrahimgwasma2353 years ago Very green street pazuri sana
    nice one.
  • @
    @hamedal-shruiqi21235 years ago Mungu azidi kukubariki hongera sana hormo. 6
  • @
    @boutinnysixbizz88385 years ago Official harmonizer in her naturally life. 8
  • @
    @wamberelove47225 years ago Diamond will regret one day whatever hes doing to his dad! Amp; yet its the same thing hes doing to his kids! Big up harmonize. 12
  • @
    @margarethsaramaki11005 years ago Hii safi sana rajabu, na hata wazungu uwa wanapenda ile nature yetu. Sarah ana enjoy. 2
  • @
    @christianabelly63295 years ago Dah harmonize big up sana broo kumbe hata mm nawez fanikiwa kua kama ww kweli maisha ni safari ndefu. 1
  • @
    @madolovetanzani2485 years ago Mashallah safi sana mkataa kwao mtumwa hamonaiz ujakataa kwako very nice ila ujitahisi msaidie uyo mpenzi wako wa zamani. 5
  • @
    @khadijamzee27395 years ago I like the way harmonize celebrated his birthday.
  • @
    @SelemanPharles5 years ago Ushauri wa bure: huyo mzungu wako mkienda vijijini jitahidi mvalishe nguo za kuziba mapaja na matiti. Na sisi tumeoa wazungu lakini tukiwapelekea vijijini . ...Expand 2
  • @
    @laizsuke82655 years ago Huyu na shilole hawajivungi wapp social sana, big up home ni home tu. 59
  • @
    @skylarshebby82355 years ago Duuh good sanaa kaka harmonize nimeipenda sanaa hiyoo couple. Kma na wewe umeipata hii gonga like. 2
  • @
    @omanoman-gs4zb5 years ago Mashaaallah. Raji umefanya jambo la mana. Allah azid kukupa kheir zaid. 40
  • @
    @ricardodeazo20705 years ago Big up boy, hongera sana kaka, much love for family. 5
  • @
    @samburuonlinetv5 years ago Konde boi nashukuru unapenda sana baba yako hapo sawa kwa kumjali baba, bosi wako du! 9
  • @
    @fadhillawisoniadam77675 years ago Baku kubali sana harmonize kama na ww upon miongoni mwa watu mnaomkubali tafdhali naomba like yako. 1
  • @
    @managermipango28435 years ago Kitu ambacho nimekipenda huna fake life una really life, huna maisha ya kuigiza ni mkwel na muaz.
    mastaa kbao wanaficha vijiji vyao,
    183
  • @
    @faridabakari85115 years ago Mashaallah watu tanatoka mbali i say big up rajab hammond. 1
  • @
    @babailu21335 years ago Dah harmonize umetisha sana big up kwa ulichokifanya.
  • @
    @deearacemarg4505 years ago Harmonize chelsea fun like me. I love your village big up bro. 17
  • @
    @tedymwandara54805 years ago Yani harmonize utafika mbali zaidi mungu hupenda tuwasaidie watumpango wa kujenga villa ili ukoo ndugu zako wakae pamoja ni jambo kubwa sana, wasomi wakisoma wanatokomea peke yao ht kwao hawaendi, ninayo mifano take it from me!. ...Expand 1
  • @
    @stevenobillo71005 years ago Aisee unajielewa sanakuonyesha nyumbani, good.
  • @
    @mrthreesix2805 years ago Big up bro. Mshauri basi hata na boss wako. We mamako alikosana na babako ukiwa miaka miwili na unamuenzi babako na hizo ndo barraka kakangu vipi mond. Mshauri bana aishi kama wewe. 59
  • @
    @jokhakhalef8225 years ago Hongera baba kwa kweli umefanya jambo zuri sana. 2
  • @
    @dkensmopainvevo36835 years ago Konde boy unatisha saana bro i love it unanipa hamasa. 2
  • @
    @karimusindi85745 years ago Konde boy i' m appreciate rajabu and all member from w. C. B ila umenikosha na singenge mzee baba. 1
  • @
    @emmypc83625 years ago Wallah nimejikuta nafurahi tu rajabu mungu akuongoze uzidi kunufaika nakuwanufaisha wazazi wako, eeh mungu nami niongoze niwe na afya nguvu uzima nipambane niwaflaishe wazazi wangu jmn baba amo anajua kudundika.
  • @
    @pichunakichuna21115 years ago Wow big up hammonize u dont leave fake life. 13
  • @
    @IsdoryDominic-dd8wg11 months ago Hongera cn we ni mwamba, kuna wengne hawayakubali maisha yao ya zaman.
  • @
    @mongeramatondo4165 years ago Yn huyu kaka jmn yuko vzr hanaga majivuno km wasanii wengine, big up nmekupenda bure. 1
  • @
    @mimah15475 years ago Hamonize umefanya nizid kukupenda yaan dah! Mungu akupe maisha maref na mafanikio tele inshaallah. 6
  • @
    @babanjuru87385 years ago Safi sana harmonies sio diamond baba yake amsaidii.
  • @
    @mimaakenirram14055 years ago Mashallah me nakuombea ujenge hizo nyumba lnshallah kumuezi babu yako. 1
  • @
    @jordlynwoods96845 years ago I like this boy harmonise he is very open with his life he does not care keep it up boy, diamond jifunze kwa hormo. 26
  • @
    @polinahkilunju94145 years ago Pongezi harmonise kukumbuka ulikotoka, big up mdogo wangu na happy birthday.
  • @
    @ashajuma9705 years ago Mashaallah wasanii waigee huu mfano wa mwezao kuweka mambo wazi ya maisha yake.
  • @
    @simbarajabu41575 years ago Nimekupenda sana mdogo wangu kwa kujuwa nyumbani ni nyumbani.
  • @
    @malaikaizegelle44285 years ago Ivi wanaombaga like uwa mnazifanyiaga ninibasi na mimi naombeni like. 162
  • @
    @johnsonwanyangachika15855 years ago Daa harmo kazi bado unayo bhana kama uliweza kugawa pesa kalia koo jitaid badilisha mazigira ya ukoo wako pia history unaweza kuitunza ila mm naona ndugu . ...Expand
  • @
    @nurungangise98025 years ago Wazo nzuri san lakujenga hivo ulivosema mungu akujarie.
  • @
    @fallymetoo1915 years ago Allahumma bareek inshallah
    mkataa kwao mjinga
    home sweet home
    enjoy.
    38
  • @
    @mbondokambi80535 years ago Dah mungu akuongoze mwanangu harmonize. 1
  • @
    @mbodzebemasika74775 years ago Mzungu kwanza anapenda mazingira ya mwitu allahhuyu baba. Sara uvaege nguo ukienda kwa wakwe. 51
  • @
    @shemsaabdalla10645 years ago Hv dogo huwa una kichwa cha aina gani? Ww ni genius wallah, unajua ulikotoka lzm ufanikiwe unakoenda n mungu akusimamie.
  • @
    @anthonyfaru99085 years ago Safi sana kukaa ukapatana na wazazi wako, wakafurahi hata kama mzazi alikufnyia sivyo, usiweke bifu bora ukanyamza utaonekan bora. 21
  • @
    @priscajohn_mshauriwaafya70565 years ago Hongera harmonize kwahicho ulicho kifanya.
  • @
    @aboubakarmassooud69085 years ago Nimependa sana konde boy
    kweli konde hausau asli yako. In shaa allah mungu akupe wepesi kwa nia yako.
  • @
    @naslamgollowatuacheee98525 years ago Nimependa mazingira yenu hamo hadi raha mungu akusimamie kwailo kukuza familia natamin ningekua miongon mwa familia piya nifamilia ya heshima na dini mungu awabarki ila sara mvalishe madira kwanza kijijin. 7