Duration 6:47

WAZIRI KABUDI AWAGEUKIA WANASHERIA MWANASHERIA WA SERIKALI AWE NA SAUTI

197 watched
0
1
Published 18 Jun 2021

Waziri wa Katiba na Sheria,Profesa Paramagamba Kabudi amewataka mawakili wa mashirika ya umma ambao wamekuwa wakisimamia kesi mbalimbali kutoa taarifa kwa Ofisi ya wakili mkuu wa serikali na siyo kusubiri hadi mambo yawe magumu. Prof. Kabudi amebanisha hayo leo June 18,2021 jijini Dodoma wakati akifungua mkutano mkuu wa watumishi wa Ofisi ya Wakali mkuu wa serikali ambapo amesema Mawakili wote wa Mashirika ya umma lazima wawajibike kwa Wakili Mkuu wa Serikali.

Category

Show more

Comments - 0