Duration 11:48

Kijana aliyeunda gari akielezea mfumo mzima wa engine ya gari yake na jinsi inavyofanya kazi.

2 991 watched
0
24
Published 18 Oct 2021

Gari hiyo inauwezo wa kubeba watu wawili na mizigo na inauwezo wa kwenda umbali mrefu, yeye analitumia kama usafiri wa kumfikisha shambani.

Category

Show more

Comments - 4