Duration 12:3

Tumepokea tenda yenye thamani ya 100M+/mkopo toka halmashauli

157 watched
0
7
Published 15 Dec 2021

Kikundi cha Youth vocation training central kilichopo wilayani Ludewa kimepokea tenda ya katengeneza madawati zaidi ya elfu moja pia kimekopeshwa milioni 30 toka halmashauri kwa ajili ya kukamilisha mladi huo

Category

Show more

Comments - 7