Duration 10:27

MWANAMKE aliitwa kufanya USAFI nyumba ya KIFAHARI kumbe wamemuandalia MUUJIZA uliobadili MAISHA yake

59 958 watched
0
776
Published 7 Jun 2021

Category

Show more

Comments - 114
  • @
    @alicekageha92833 years ago God is good all the time. And all the time god is good. All who helped rose to get a house may god continue to bless them always. 2
  • @
    @maryammohd59943 years ago Mungu ni mwema sana. Wafanya usafi wenzangu tujuane hapa. Yaan mim kwa ufanyaji usafi wangu kuna jambo lilinikuta nililia tu kwa furaha. 17
  • @
    @genovevatarimo39823 years ago Mungu ni muweza wa yotemaisha ya mtu kwa wakati sahihi. Na ukizingatiamungu. 1
  • @
    @mkisimmoja98613 years ago Daa asee kwelii dunia ni watu, na huu nimsemo ambao umebeba maana kubwa sana. 3
  • @
    @jumasaleh69933 years ago Mung ni mmoja lkn uwezo wake na ngv zake nikubw na unaweza kupke mujiza muda wowote saa yoyot. 3
  • @
    @aminaathumani68323 years ago Sasa anaendereaje mungu awataturiee matatizo yote yatiweke jamani muowane kwa mipango ya aiiah ariyoo panga afunguwe njia kira husuda za warimwengu ziondoke . ...Expand 5
  • @
    @marympemba18293 years ago Mungu wa upendo, utaishi kwenye nyumba usiyo ijenga, baraka za mungu. It doesnt hurt to be nice to people.
  • @
    @bettynjoroge90033 years ago I receive my miracle in jesus name amen. 3
  • @
    @marymagnus87123 years ago Asante sana kuna kitu nimejifunza hapo.
  • @
    @elinamadalali47403 years ago Mimi ni elina madalali sasa twende kazi. 1
  • @
    @aysherkitoi65473 years ago Na pokea miujiza kwa jina la yesu amen.
  • @
    @salumsalum57123 years ago Mimi n albert einstein sasa twende kazi. 3
  • @
    @qatarrarre303 years ago Ireceave my miracles in the name of jesus. 1
  • @
    @annachambo74183 years ago Nzr, san jamani ila mimi natafuta kazi ndgu zangu.
  • @
    @kellyngogo33193 years ago Maombi muhimu mpeleke kwa mwamposa au popote nyumba ya mungu. Na wewe jikite kwenye kusali maombi in deep bwana hashindwi na chochote. 1
  • @
    @neemamayco32383 years ago Hi ni ulaya tu cyo bongo tulivyokaa kichawi na kinafk haitaka itoke. 4
  • @
    @rahimasaid67213 years ago Hapana kukata tamaa allah ndie mtoa riski wapi lini na kupitia kwa nani hio mipango yake allah thx. 2
  • @
    @sadroggers43883 years ago Mpak picha ya mwanalisa amevaahaya bhana.
  • @
    @philej3 years ago Sasa ikiisha iyo miaka miwili inakuaje.
  • @
    @nyangigenyabitwano11803 years ago Daima tuishi na watu vzr, mlango wako wa baraka uko kwa watu wengine.
  • @
    @damsonwillison4353 years ago Channel hi naipende sana kupita kias ki ukweli. 1
  • @
    @princekarani78362 years ago Kwanza ishi na watu vizuri, kuwa mwaminifu, ivi vitu ndiyo viliwafanya wakazi ambao roza alikuwa aliwafanyia kazi kumkumbuka na kumsaidia, pili alikuwa akifanya . ...Expand
  • @
    @sadathabdully2343 years ago Kaka justin naomba pia uandae kuhusu froyedmywether unatisha sana tupo pamoja muda wote. 1
  • @
    @shamzone3883 years ago Kisa kizur sana kinafaa kuigwa na watu woote. 1
  • @
    @joejux13803 years ago Naombeni sana kunisaidia kumuombea mchumba angu ambae anaumwa na tangu aumwe ni wiki ya pili sasa na tulipanga tuoane 20/06/2021 na kila kitu kiliandaliwa . ...Expand 12