Duration 3:40

Maiti yazungumza na mkaaji wa Kaunti ya Bungoma

1 321 697 watched
0
2.4 K
Published 29 May 2015

Je mtazamaji, wafu huwa na mvuto upi katika maisha ya siku kwa siku ya wale walio hai? Ni swali linaloulizwa na baadhi ya watu katika kaunti ya bungoma baada ya wenyeji wa kijiji kimoja kufika mahakamani, na kupata idhini ya kuufukua mwili wa mmoja wao, waliyedai kuwa alikuwa akiwasumbua kwenye ndoto. Yadaiwa amekuwa akiomba kuzikwa mahala pengine. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya

Category

Show more

Comments - 128
  • @
    @theenjeri2 years ago Spirits never die. Thats why we pray to let the body rest in peace. 6
  • @
    @nusaibahassan58426 years ago Forever you will remain in our heart' s ahmed dharwesh. 13
  • @
    @leyasalma3545 years ago Miss u darweesh mungu ailaze roho yako peponi ameen. 9
  • @
    @mercyomukunde9305last year I miss darwesh. May his heart continue resting in peace.
  • @
    @anapaschal55912 years ago Mungu ni mwema hadi maiti zinaongeasana. 1
  • @
    @sariysariy62936 years ago Darwish we miss may ur soul rest in peace may allah grant u jannahtul firdos ameen. 9
  • @
    @johnmasinde18753 years ago It' s called a familiar spirit. It manifests through a dream using same voice & appearance of the deceased. 4
  • @
    @alisaalis92187 years ago Darwesh tulikupenda lkn mungu alikupenda zaidi upumxike kwa amani. 10
  • @
    @amaninaupendo.35396 years ago Amen. Wapendwa wa mungu mgeukieni mungu ndiyo mweza wa yote. 2
  • @
    @alikiba99607 years ago Allah akujaalie pepo ya juu ahmed darwesh amin. 2
  • @
    @abdihussein822last year Innalillahi wainna ileyi rajiuun, may allah grant you jannatul firdaus, ahmed dharwesh.
  • @
    @margaretnamubi45654 months ago Luhyas drama. Never end. Hesabu ya watu walio muua.
  • @
    @gandiwehu5818last year Darwesh was a legend.
    inna lillahi wa' inna illeyhi rajyun.
  • @
    @peninahgathari48795 years ago Lakini jamani, si hizi gari za polisi hubeba vitu mingi. 3
  • @
    @doreenmnyitte40254 years ago Yes lazima angefufuliwa kila watu wafwate kimila yao kabisaa. 1
  • @
    @manganamanganamanganamanga73135 years ago Ninyi niwajinga sana unajua mukihusisha vifo na mambomemgi hamutaishi vzr hapo. 2
  • @
    @mamymdogomamy36705 years ago Jamani mila zitaisha lini ndugu yaa allah tunusuru ss waja wako. 4
  • @
    @annestanciamachome41515 years ago Duh! Nimeshangaa sana jaman binadam kufukuliwa.
  • @
    @firdausabdullah63156 years ago Kenya vituko havitaisha maisha yazidi kupanda. 1
  • @
    @mpwapwanewstv82045 years ago Mhh hiyo asee mtu akifa anaweza kufufuka tena bt kwa utamaduni inaeezekana.
  • @
    @bendettamumbua41672 years ago Wololo! These are the shaking day' s. Yaani maiti inaongea? Tena roho inaamlisha mwili uzikwe kwingine.
  • @
    @millicentouma23244 years ago Waluyia please, know god. The dead never come back, but the devil comes in dreams with the face of that dead person. 5
  • @
    @beverlinekilwaye99547 years ago Mtu akifa amekufa hayo ni mapepo jameni. 16
  • @
    @nelsonmandela46402 years ago Mtu aniconect nipate ploti uko siloba!
  • @
    @evederrick67432 years ago Akuna mazinga ubwe apo, they spirit of that son is still around why the killed innocent soul.
  • @
    @nissispuppies59902 years ago They accused someone falsely until the murderer confessed 6 yes later. He was killed by masten wanjala n et someone else is serving a life sentence. Sad.
  • @
    @benazirfred5194 years ago Rip darwesh haki sijaahi amini uliaga dunia. Maiti kuongea n. A. Mapepo. 1
  • @
    @daianammbone69222 years ago Watu wakombolewe watoke kwa mila, kwani maiti ina uwezo wa kuongoza jamii.
  • @
    @pamelajuma12398 years ago Hayo ya ndoto nikweli marehemu aongea throu ndoto anavio taka. 4
  • @
    @mafurufilipo83585 years ago Tusizungumzie kuhusu uchawi pekeyaket bali tukumbuke kuwa kila nafs itaonja maut. 1