Duration 16:00

CHANZO NA TIBA YA BARIDI YABISI (ARTHRITIS) | Mittoh_Isaac (N.D)

7 984 watched
0
52
Published 28 Jun 2020

Ugonjwa wa baridi yabisi ni tatizo ambalo huwaathiri sana watu wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea. Lakini kutokana na tafiti za hivi karibuni tumeona ongezeko kubwa la ugonjwa huu. Hata vijana wameanza kuathirika na huu ugonjwa.Tiba yake imekuwa ikitafutwa kwa muda mrefu bila mafanikio na watu kutumia njia mbadala ambazo hupunguza maumivu tuu pindi anakuwa anaumwa.Baridi yabisi ( Arthritis) huathiri maeneoya maungio ya mwili. Kwa sababu ya kurundikana kwa tindikali katika maeneo hayo. Dalili zake huwa kama ifuatavyo KUKAKAMAA KWA VIUNGO HASA KWENYE MAUNGIO MAUMIVU MAKALI WAKATI WA KUJIKUNJA AU KUKUNJA VIUNGO. KUVIMBA NA KUJAA MAJI KATIKA VIUNGO. KUSHINDWA KUJONGEA. Ushauri wangu kwako ndugu msomaji. Kama umeathrika na tatizo hili hebu angalia nini husababisha ndio utafute dawa. Husika na mifumo ya ndani ya mwili wako ujue ni nini hasa huathrika na kudhoofika ndipo unapata hili tatizo la baridi yabisi. KARIBU KATIKA KITUO CHETU TUKUELIMISHE ZAIDI. USITAZAME DALILI, TAMBUA NI MFUMO GANI UNAOHUSIKA NA UNAWEZA KUREKEBISHWA ILI UWE NA AFYA BORA. TUNA MIMEA(HERBS) ILIYO NA UWEZO WA KUREKEBISHA UDHAIFU WA VIUNGO HIVYO KWA UMAKINI. USISITE KUNIPIGIA.n.k Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi juu ya changamoto yako ya afya.Tuna uwezo wa kuimarisha na kuondoa changamoto zako za afya ambayo inakusumbua kwa wakati huu kwa uwezo wa Mungu. AFYA NI RAHISI. RUDI KWENYE ASILI.KULA MATUNDA NA TUMIA MITISHAMBA KUTOKA KATIKA KITUO CHETU UIMARISHE NA KUBORESHA AFYA YAKO. Usiache ku subscribe na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENT, LIKE na share pia kwa wengine. NIFUATE MTANDAONI:INSTAGRAM: https://www.instagram.com/dr_mittoh_h...FACEBOOK: https:/www.facebook.com/Rivers_Natural_Healing_Domain/LINKEDIN: https:/www.linkedin.com/isaac_mittoh,(N.D)/ FOR ANY QUESTION AND TREATMENT PROGRAMS SEND ME AN EMAIL rivershealthdomain@gmail.com Call or send me a text via whatsapp  (+255)686-183-000 Visit us: Green Acres House.3rd floor Suit 312B.Opposite Merry Water House New Bagamoyo Road. Dar es salaam,Tanzania. #Arthritis#RiversHealthDomain#BaridiYabisi#mitishamba#tibambadala#

Category

Show more

Comments - 34