Duration 2:6

KUNA MCHEZAJI AZAM FC ANAHOFIA CHANJO “TUMEMEMSHAURI”

8 664 watched
0
27
Published 10 Aug 2021

Club za Simba SC, Yanga SC na Azam FC leo zimewapeleka katika hospital ya Muhimbili kwa ajili ya kupata chanjo wachezaji wake, Club hilo zimefanya hayo kutokana na kuwapa Elimu na wachezaji kuridhia kupata chanjo hizo. Katika hii video ni Msemaji wa Azam FC akizungumza na Ayo TV kuhusu wachezaji wao kupata chanjo ya Covid-19

Category

Show more

Comments - 16