Duration 1:00

Shangwe la kukabidhi zawadi kwa washindi wa wiki ya nne wa promosheni ya Twende Mjini na M-Pesa

18 504 watched
0
1
Published 30 Jun 2021

Zoezi zima la kukabidhi zawadi za bajaji na bodaboda kwa washindi wetu wa droo ya nne lilivyofanyika ndani ya stendi ya basi, Kabwe Mbeya. Endelea kutumia M-Pesa kufanya miamala mbalimbali ikiwemo kulipia huduma au bidhaa uingie mjini. #TwendeMjiniNaMpesa #PesaNiMpesa

Category

Show more

Comments - 0