Wimbo wa Dini | Kile Ambacho Anayemwamini Mungu Anapaswa Kufuatilia (Music Video)
Kutoka kwa tofauti katika kiini cha Paulo na kiini cha Petro
unapaswa kufahamu kuwa wale wote ambao hawafuati uzima wanafanya kazi ya bure,
wale wote ambao hawafuati uzima wanafanya kazi ya bure!
Unamwamini Mungu na unafuata Mungu,
na kwa hivyo moyoni mwako ni lazima umpende Mungu.
Ni lazima uache tabia yako potovu,
lazima utafute kutimiza mapenzi ya Mungu,
na ni lazima utekeleze wajibu wako kama kiumbe wa Mungu.
Kwa kuwa unamwamini na kumfuata Mungu,
unapaswa kutoa kila kitu kwake,
na hupaswi kufanya uamuzi au madai ya kibinafsi,
na unapaswa kutimiza ukamilishaji wa mapenzi ya Mungu.
Kwa kuwa uliumbwa, unapaswa kumtii Bwana aliyekuumba,
kwa kuwa wewe huna mamlaka kiasili juu yako mwenyewe,
na huna uwezo wa kudhibiti hatima yako.
Kwa kuwa wewe ni mtu ambaye anamwamini Mungu,
inapaswa utafute utakatifu na mabadiliko.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw
App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433
CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App
Google play: http://bit.ly/2WHrvj2
App store: https://apple.co/2ZEE29d
Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192
#HatuaTatuzaKazi#kumjuMungu #nenolaMungu #swahiligospel #Injili #gospel #kenyangospel #tanzaniagospel #ugandagospel #CongoGospel #ZambianGospel #MwenyeziMungu #KanisalaMwenyeziMungu