Duration 1:45

Mbio za magari ya 4x4

64 watched
0
1
Published 22 Apr 2023

Mkondo wa pili wa kitaifa wa mbio za magari ya nne kwa nne kufanyika wikendi hii katika kaunti ya Meru. Madera kumi na tano wanarajiwa kushiriki kwenye mbio hizo ambazo zinanuia kukuza talanta na vipaji miongoni mwa vijana ambao wanatakushiriki kwenye safu ya uendeshaji magari. #SafuYaSpoti

Category

Show more

Comments - 0