Duration 1:1

AL RAHMAH SCHOOLS - Swahili Voie-over

1 226 watched
0
13
Published 30 Sep 2021

AL-RAHMAH SCHOOLS: . Al Rahmah Schools Shule za kutwa na bweni kuanzia awali, Msingi hadi Sekondari, zinakuletea huduma bora za kielimu katika mazingira yenye hadhi ya kimataifa. Kwa Masomo ya Qur’an, dini, lugha ya kiarabu, kiingereza na michepuo yote ya Sayansi na Biashara. Yanayofundishwa na walimu wazoefu na wabobezi katika malezi na taaluma. Shule zina mabweni makubwa, madarasa mazuri na ya kisasa, Kumbi za mikutano, maabara, Computer, Maktaba, viwanja vya michezo, na vyumba vya kujifunza kwa msaada wa teknolojia yaani (Technology Aided Learning). Shule ina usafiri wa uhakika kwa Watoto wanaosoma kutwa. Watoto wanakula Vizuri na muda wote wapo kwenye ulinzi na usalama wakifurahia masomo yao. Ifahamike Tumejizatiti kwa Vifaa vya kisasa vya kugundua na kudhibiti majanga ya moto endapo yatatokea. Njoo umuandikishe mwanao sasa, Ada zetu ni nafuu sana. Huwezi kupata popote pale. Tupigie au fika shuleni, Mkuranga mkoa wa Pwani, Karibu na shule ya msingi Ngunguti. AL-RAHMAH SCHOOLS, ALWAYS THE BEST . . #Alrahma #Schools #Mkuranga

Category

Show more

Comments - 4