Duration 4900

Picha za utupu zamfikisha Mwijaku mahakamani

4 285 watched
0
19
Published 29 Jul 2020

Msanii wa Filamu nchini, Brighton Mwemba maarufu kama Mwijaku amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka moja la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria. Mwijaku anadaiwa kuchapisha picha hizo Septemba 15 na Oktoba 10 mwaka 2019 kwa kutumia mfumo wa kompyuta kupitia mtandao wa WhatsApp #AzamTVUpdates #AzamNews Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 11