Madaktari Bingwa wa Pua,Koo, Sikio na Mifupa Kutoka Hospitali ya Benjamini Mkapa,waliokua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa kwa siku tano kutoa huduma hizo,wamelazimikia kuongeza siku za kuwahudumia wananchi kufuatia maombi ya wagonjwa wenye shida hizo.
Category
Show more
Comments - 1
Related videos for MADAKTARI WA MKAPA WAOMBWA KUONGEZA SIKU: