Duration 3:42

AB Nabil feat ROMA - Down Low (Official Video)

79 821 watched
0
1.9 K
Published 6 Apr 2020

AB Nabil feat. ROMA - Down Low. Produced by Eseka in Kasreh Records. Directed by Phinias. Shot and edited by Tordum in ATL, USA #AB_Nabil #ROMA #DownLow Mkombozi Film /watch/uUGWP-v740XB4W Now You Know ► /watch/QZU6C8pd0hud6 Kibamia ► /watch/8YrxpqqAGETAx HIvi Ama Vile ► /watch/kiBfJHcYo6OYf Zimbabwe ► /watch/sZlrxvISBGVSr Kaolewa ► /watch/sXdAif3NlGuNA ParaPanda ► /watch/4c-Suyu0AdD0S Anaitwa Roma ► /watch/oTBXkGjgCD2gX Mkombozi /watch/AS_ywgZnVVbny

Category

Show more

Comments - 185
  • @
    @fireafrica21424 years ago Watu kutoka burundi mko wapi
    like apa kwa mrundi wetu ab nabil.
    41
  • @
    @pascalnyanda12894 years ago Mnyama roma huyo wangapi mko hapa kwa ajili ya roma! 50
  • @
    @sameast22924 years ago Ab nabil keep it up fam this is a banger. 1
  • @
    @aldenyfude17384 years ago Wale wazee wa kusoma comments kama mimi gonga like kama zote. 62
  • @
    @samwelchonya19064 years ago Roma bhana akisimama kasimama kweli kwenye michano
    like hapa twende sawa kama unamkubali roma.
    15
  • @
    @jackoboofficialtv98614 years ago Nakubal sana kazi yako roma tuk pamoja.
  • @
    @nostressfreedom74314 years ago Katika chechema chechemeaab nabil noma. 2
  • @
    @josephkaingu39454 years ago Mkatoliki bana. Hehe haya bana! Mnyama unyamani.
  • @
    @mayalakatema25764 years ago Wimbo siyo mkali ispokuwa mm niko kwa ajili ya roma. 2
  • @
    @odonkoodo36434 years ago Dah! C mmbo yko haya roma nakubale video mzee baba. 1
  • @
    @saidiamiri21264 years ago Hahahah nafurahi kwa ajili ya roma vizuri mzee kumbe unaweza hiyo miondoko.
  • @
    @jaxplatnumz2034 years ago Romaa nakuamin ujawai mwacha m2 xalama lazima ukimbizee. 2
  • @
    @Pratnumzsimba4 years ago We roma kaa huko tu si tunataka ngoma 2. 2
  • @
    @TheLugiko4 years ago Acha ubishi, roma kaweka michano ya kinyama sana! 2
  • @
    @o.o.80744 years ago Wale wa kuskiza wakiscroll comments wako wapi? Drop like hapa
    kazi nzuri roma.
    15
  • @
    @mtukufusafari55354 years ago Wimbo mzima nimependa roma anavyochana 2. 1
  • @
    @wizyjunior57714 years ago Kazi ipo fresh kizazi sana the magic atraction roma. 2
  • @
    @kisakeniabdi4454 years ago From kenyaa +254 romaa nlikuwa nangoja ya corona kama rostam bha aa. 1
  • @
    @brigeddiageneral37594 years ago Kama kawa mkubwa wangu roma katisha tena. 1
  • @
    @frankbenard56784 years ago Tunao sikiliza hili goma mpaka tunasahau kama kuna corona like zenyu hapa. 2
  • @
    @alexsimoni42774 years ago Naitaji kupata ngoma nzima ya roma akiimba hivi.
  • @
    @hamismagafu37554 years ago Wangapi tumetega maskio huku osha mikono kipindi hiki cha corona. 1
  • @
    @khamisjuma97024 years ago Dah nime miss your voice kkt yaan toa kigongo kimoja about covid 19 cause hao wabana pua hatuwafahamu by anaab 21 from zanzibar. 1
  • @
    @mklarazaa7194 years ago Vipi wote tuki subscribed kumsupport huyu mwamba hadi afike milioni subscribed. 5
  • @
    @innocentbryson30114 years ago Sema roma umechana ki mbele zaidi sema goma linaamsha amsha. 5
  • @
    @msemakwelitv23764 years ago 255 presenter big san mzee baba bongo ya covid-19 tunapambana nayo ila tunasubir ngoma moja ya corona kutoka kwako huenda wataelimika tena waleee. 2
  • @
    @ibrahimkyama50554 years ago Roma jembe msee mm nakubali kazi zako bro. Wale wa roma ooya iyee.
  • @
    @denisimaliyaweni91834 years ago Ngoma kali lakn tupo bize na corona aisee, hata muda wa kuckiliza hatuna tunaweka bado kwa ajili ya kupata habr mpya ya covid-19.
  • @
    @yohanaadam6204 years ago Bonge la goma roma fundi nakuelewa mno. 1
  • @
    @dayranngoteone38264 years ago Romaa utareta dini zote ila rc itabaki.
  • @
    @rajabukanuni46234 years ago Mwanangu karudy like zakutosha wanangu.
  • @
    @maishacenter-eastafricatv39764 years ago Tulihitaji sana collabo ya na roma sasa imepatikana, roma karibu +257, love more. 3
  • @
    @ibrahamkalu90694 years ago Usisahau kumsabscrabia na kugonga kengele. 1
  • @
    @irambonaericwamakamba66594 years ago Song iko vizuli kama vile mlisomea mziki tu nipo gonga like kama unawak ubali .. 8
  • @
    @chrissbreezy65404 years ago Wapi likes za baba la baba roma 2030 from 254.
  • @
    @merickmahamba40924 years ago Guys fromkagera tz gonga likes kwa roma akee.
  • @
    @linwarutaarustaw75084 years ago So then we have combined with eg' gafant uh rising up fields of gold and ohm' s all around nuun in& 3 we won the valley of the wind back and all the ohm' s are not furious. ...Expand 4
  • @
    @xembogasd17254 years ago Wasanii tunaowapenda mbona hawana views nyingi.
  • @
    @kirupyseleman5824 years ago Br inster umeirudisha sawa asa mbna imekua ngumu kupat connetion zako kama aliyekua anatumia? 1
  • @
    @elibarikikivuyo59464 years ago Ngoma imetulia viva roma! Sema da tunawaza corona tu! 1
  • @
    @ladislausmilagiro90874 years ago Ati urukundo sugwambaro ndatwenze cane hano. 4
  • @
    @yasinamiri76494 years ago Roma i know you never lose in music tanzania hip hop. 2
  • @
    @SIMULIZIZONE4 years ago Kama unapenda simulizi za kihistoria karibu kwenye channel yetu.
  • @
    @bamztvonline99054 years ago Naomba support yenu link hiyo apo kaichek kaz yangu mpya
    Artist : Ommy Bamz
    Song : Inama
    Graphics : JdK Graphi class="buttons">cs
    Producer : wizzykeyzy
    ..
    ...Expand 2
  • @
    @officialswagamilionea4 years ago Lets go! I like it, Yakisasa Bonyeza like Kama unamkubali ROMA weweeeee 3
  • @
    @johnnytravo4 years ago Tusipuuze hii ni hatarishi sana tuwe macho ndugu
  • @
    @kingfocustzog4 years ago Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:
    secretary: boss boss akabaki anashangaa baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na secretary wake.
    akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea:
    boss: bibie ulivyoona geti wazi je uliona prado v8 langu lime paki ndani?
    secretary: hapana boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili yaliyoisha upepo!
    saizi sekretari anakabidhi mafaili nadhani anapelekwa ulaya
    .
    ...Expand
    32
  • @
    @bamztvonline99054 years ago Artist : Ommy Bamz
    Song : Inama
    Graphics : JdK Graphics
    Producer : wizzy keyzy
    ..
    ...Expand