Duration 6:34

HAPATOSHI 'John Heche' Awasha Moto Bungeni Kisa 'Ufisadi'

206 697 watched
0
630
Published 2 Feb 2018

Ni mkutano wa kumi katika Bunge la kumi nna moja, unaoendelea katika makao makuu ya nchi mjini, Dodoma. Kinachoendelea Bungeni ni kipindi cha maswali na majibu, ambapo wabunge wanapata fursa ya kuuliza maswali naa kujibiwa na wahusika akiwemo Waziri wa nchi, ofisi ya rais, Tamisemi , Waziri Jaffo pamoja na naibu waziri wake. Ambapo Mbunge wa Tarime, John Heche, amesimama na kuuliza kuhusiana na bei ya vitambulisho vya uraia vinavyotengenezwa na mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA), kwa kulinganisha na bei ya vitambulisho vya kupigia kura ambavyo anadai ndivyo vyenye gharama kubwa zaidi, lakini bei yake ni ndogo tofauti na hivyo vya Nida. Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

Category

Show more

Comments - 75
  • @
    @getaromagaiwa79186 years ago mbunge wangu nakukubali sana!!!! 2020.!!!hakuna mpinzani kwako!!!!! 5
  • @
    @yahayachinguile30005 years ago ujawah kuko. sea abadan heche up vizur bablah hechuu chariiiiiiiiik 1
  • @
    @emmanuelmesiack26546 years ago Usimjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake asije akajiona mwenye ufahamu/mwerevu...
    Bravo heche
    8
  • @
    @winifridagregory81855 years ago uyo mbunge alie toa taarifa naona hajielewi hongera heche 2
  • @
    @matalamoma1665 years ago Yani huy jamaa heche hajawai kuongea pumba 19
  • @
    @ndarogamba1916 years ago Hadi hasira imepanda ghafla natamani nitembee na silaha hadharani niwatoe utumbo nje wote wanaohusika na wizi huu💪💪💪💪 5
  • @
    @noelgasto79895 years ago Kuna mbunge ametoa taarifa kma cjamuelewa hv 3
  • @
    @stevenlambo28106 years ago hata sisi huku geita tumeandikishwa kitambulisho cha Taifa kwa kutoa pesa sh 1500/ kwa kila mtu 4
  • @
    @ishivamgimba36725 years ago hii nchi bila Wabunge wa chadema Haiwezekani ndomana kunajuhudi nyingi sana zakiwazimisha lakini nasema nchi hii haiwezi kwenda bila chadema na ccm imrfrli kabisaa 4
  • @
    @jacklinefrans29785 years ago Onge baba tunateseka sana watu wa morogoro 1
  • @
    @raphaelmvungi27846 years ago Nchi ya kisengelema hii
    ...ngachoka
    4
  • @
    @errymwazembe28476 years ago m. Heche sikuzote ulikuahujui kama nchi hi niyamazingaombwe 4
  • @
    @sulleysonmishlaymishlay72336 years ago Na kweli kuna ufisadi wa halijuu ambao niwa kiakilisana 2
  • @
    @solomonmwakatobe97532 years ago Ipo siku mungu ataiondoa ccm madarakani hatakama hampo madarakani endeleeni kuwapiga ccm mpaka kieleweke
  • @
    @suleimanally35156 years ago hizo ndio biashara ikifanywa na bangi kichani 2
  • @
    @philipomgovano78784 years ago hivi huyu alisikika akimuuliza mh heche kuwa anatumia nini kuongea naye ni mheshimiwa, wananchi tuwe makin ili tuchague watu makini kama bb heche, taifa lisonge mbele! 1
  • @
    @bonabonala82535 years ago CCM comerd 2 ajiietewi Hugo CCM mwache heche kidume songeee 1
  • @
    @tumsifumunuo74286 years ago Heche mamia kwa maelfu tuko pamoja na wewe walimpiga lisu risasi kumbe wako makamanda wengine wa chadema hatari wa kupambana na mafisadi 5
  • @
    @onesmolwambano93496 years ago Huyu jamaa katufanya mazuzu na anapga kweli pesa yani mpaka inauma 14
  • @
    @mtatiromgeka72705 years ago sijui nihamie chadema na sbb utakuwa ww mura 2
  • @
    @ezekiamtwale19875 years ago Cjawahi ona mbunge zuzu anaetoka ukawa,kiufupi wanatuwakilisha vyema wapga kura wao! 1
  • @
    @daudmchile52775 years ago Kweli walikusanya hela kwenye mabango jaman
  • @
    @mahirichristopher94555 years ago 😂😂😂ati sitaki comedy apa, mkumbushe wewe unatoka Mara tena mkuria, hutaki masiala 2
  • @
    @seniornyungu97186 years ago Usifanfe COMEDI mzeee, acha MLINGA aendelee na utoto wake. 1
  • @
    @ezekiamtwale19875 years ago Kiukwel aslimia kubwa wabunge wa wanyonge na walio na uchungu na nchi yao ni ukawa!
  • @
    @masoudymichael14346 years ago Tuwakilishe heche tunapenda kuona wabunge wa aina hiyo 2
  • @
    @kilekeremson98215 years ago Mlinga usitufanye vijana tukaonekane hatujielew
  • @
    @kitokisospeter72475 years ago alafu mbona hata hivi vitambulisho vya Taifa vina ukomo? huu si uharibifu wa pesa? Mimi ni mtanzania, nimepewa kitambulisho cha utaifa kama mtanzania halali, je huu ukomo ni wa nini? je huo muda ukiisha, mtaleta vingine? kwangu mimi naona huu nao labda ni mradi wa mtu. ...
  • @
    @oscarmanase17685 years ago Hivi waliomchagua msukuma wanaakili kweli wajichunguze upya kama ulimchagua na umeskia taarifa yake usimchague tena. Bravo heche