Comments - 149
  • @
    @letshikuku394 years ago Hongereni sn wazanzibar mungu awatangulie kwa hili tupo pamoja tunawapenda sn. From dsm. 1
  • @
    @nassormussa40904 years ago Waaawaa! Yesu wa zenzi huyo karibu mungu mama kule tz yupo mungu baba hapa tena wapinzani wasahau kwani miungu miwili ikikutana ni ushindi tu miujiza id="hidden1" mitupu na tunaamini hapa mpaka2035 kazi tu hao wapemba watabaki vinywa wazi sasa ni wakati wa kupata baraka kutoka kwa hawa mungu wetu mkitaka kushindana na cc hamtuwezi. ...Expand
  • @
    @amanimkambala62404 years ago Apo ingekuwa msafala wa maalim sefu vituo vingejaa na kes zisizokuw na kichw wala mguu. 10
  • @
    @azmiabdallaazmi59314 years ago Hizo shangwe tu subirini 25/10/2020 ndio siku ya majubu. 2
  • @
    @peterkailembo41014 years ago Mimi ni magu tu hapa kanipa hamasa ya kuipigia kura ccm. 3
  • @
    @hilalhilal84004 years ago Hawa ni vikosi tu vya smz. Hakuna ccm hapo. Wakimaliza ajira kisanduku kwa act. 2
  • @
    @elibarikikivuyo59464 years ago Hapa angekuwa mpinzani maajabu ingeonekana mbona sioni watu hapo. 2
  • @
    @richboy10414 years ago Nje wanakata viono alafu ndn wanaomba dua km so uchoko huu achen uhun ccm.
  • @
    @sirjunior18174 years ago Hamjui kuna corona nyinyi muache huu mchezo. 1
  • @
    @marthaemmanuel33234 years ago Kwan zanzibar haina watu jaman mbona wachache sana. 2
  • @
    @zubeirsalum1284 years ago Vipi raisi mstaafu amani karume naona ww hujavaa kijani. 1
  • @
    @janeobure18594 years ago Wapinzani wakifanya hiv tu ni kesi lakin kwa ccm ni ruksa. 3
  • @
    @pachamalota44554 years ago Wamekosea kumtia kwenye gari ambayo haina paa ya kufunuka. 1
  • @
    @hilalhilal84004 years ago Sasa na hawa polisi vipi baada kuwakamata wachochezi ndio kwanza wanawalinda hawa ccm wachochezi. 3
  • @
    @moussadjanffar19004 years ago Ici 6 lits que comprend mot diana tu as coup les canadairs cagny babou il y aura mini fois quoi comores ligne 3 na combien quoi mon cool choco on doit couper racine game c' est cool l o c' est quoi.
  • @
    @francisfarayo79034 years ago Mpinzani ajaribu hicho! Vituo vitajaa kesi ya uchochezi. 9
  • @
    @tamemahmad99024 years ago Naona mh. Amani hajavaa sare ya ccm kisha peke yake kavaa barakoa au corona imeisha huko?
  • @
    @alesnema95964 years ago Uyu anapoteza muda tu magufuri baba lawo wara hatutachaguwa tunamupa tu. 1
  • @
    @saidmohd50904 years ago Ama kwel ssa hatuna tena letu zanbar kuwa ssa rais anatoka bara kuja kuwa uraisi zanbar janani wazanbar tumefumbwa macho bado hatujaamka.
  • @
    @janeobure18594 years ago Ccm hata wakiweka mtoto wa kikwete kuwa rais watashangilia tu yaani hiki chama kitajimaliza chenyewe. Watu wamerudia usultan. Endeleeni kujimaliza.
  • @
    @ms.independent89344 years ago Hapo shkamo hapitii ghoo ata ambulia mafuwa.
  • @
    @ms.independent89344 years ago Mwinyi anapeta kwakishindo kwenye kura. 2
  • @
    @khamisnassor58334 years ago Tutakapo mpokea wetu mseme maandamano au uchochezi au amani itavunjika police hawatoshi. 1
  • @
    @aminaabdallah77024 years ago Akichaguliwa yatengenezrme maghorofa yamzee karume ple mtaani wakisiwadui. Japo yameuzwa ili mtaa yupendeze.
  • @
    @shibilitimedia33124 years ago Naomba kwa anaejuwa kufumbua kauli ya mheshimiwa rais magufuri ambayo mwandishi ameeleza kwamba alisema " naomba wazanzibar mnichagulie mtu ambae nikifika stamwamkia " tafsri yake niipi msaada sjaelewa. 1
  • @
    @nassormussa40904 years ago Waaawaa! Yesu wa zenzi huyo karibu mungu mama kule tz yupo mungu baba hapa tena wapinzani wasahau kwani miungu miwili ikikutana ni ushindi tu miujiza id="hidden4" mitupu na tunaamini hapa mpaka2035 kazi tu hao wapemba watabaki vinywa wazi sasa ni wakati wa kupata baraka kutoka kwa hawa mungu wetu mkitaka kushindana na cc hamtuwezi. ...Expand