Duration 2:11

HALI ILIVYO NYUMBA ALIMOUAWA NAOMI NA MUMEWE NA KUCHOMWA MOTO KWA MAGUNIA 2 YA MKAA

16 141 watched
0
26
Published 19 Jul 2019

Ni katika ambayo inadaiwa kutokea tukio ambalo linahusisha Mume wa mwanamke anayedaiwa kupotea kwa zaidi ya miezi miwili, Naomi Marijani (36) na Khamis Luwongo (Meshack), aliyekiri kumuua mkewe na kisha kumchoma kwa mkaa magunia mawili na kumzika shambani kwake. Inadaiwa kuwa Mwanamke huyo alitoweka katika mazingira ya kutatanisha na picha yake kusambazwa katika mitandao ya kijamii sanjari na taarifa za kutoweka kwake.

Category

Show more

Comments - 2