@princemansour67284 years agoSheikh kipozeo i respected him always our sheikh you are talking about educated and wise truths we love your we love your presenceso much. 40
@
@leilamehbub9484 years agoMy favourite sheikh i like his mawaidhas n examples he' s real n very open mashallah thanks. 1
@
@eddieross25814 years agoWallahi mimi nakupenda sana allahukubwani, usipoteze elmu yako sheikh wangu. 2
@
@wakilimwatondo92734 years agoI love yourof presentation: appealing! 1
@
@user-gy8lk8te8d4 years agoSheikh wewe una elimu na hekima ila kuna mambo fulani yafaaunapo kuwa na hawa wasanii huwaambii ukweli, nimeona video zako na hawa wasanii ila unapo hutubia una waukweli wachague kusuka au kunyoa ila uondoe jukumu kukwa allah, wambie nyimbi ni haramu hata maigizo hayo yao ni haram watu waenda uchi, wape ukweli huendaunapoteza hiyo fursa, vile walivyo kuweka karibu jaribu kuwa vuta. ...Expand2
@
@bellbell92944 years agoMaasha allah sheikh kipozeo allah akupe jannah firdaus jazaka allahu khaira. 7
@
@burudani1454 years agoCarry kumbe nawee unajuagah dawah leo utapata swawabu nying sana. 23
@
@jumason1424 years agoKijanamwa watangazaji mungu akulinde naamini ukiendelea hivyo utafika mbali una maswali ya msingi kabisa sio i' ll mradi mawwali ili ujaze mda yani nakupa kredi zote ktk tv on line you are among the best. ...Expand13
@
@rukiamshihiri49114 years agoAmiin shekhe dua yako iwe ya kupokelewa na ijibiwe lnshaallah. 5
@
@eddimalon60514 years agoVerry good man shekhe kipozeo. Una busara sana.
@
@dullydullahsenior7564 years agoMashaaallah sheikh wng kweli leo nime subscribe kisa hii interview wallahi. 6
@
@zainabomer18334 years agoNapenda mawaidha yako shekhe kipozeo kwanza wapenda kutabasamu. 10
@
@jamilaomari24444 years agoSheikh kipozeo allah akuzidishie umri.
@
@barakajuniarmgina33344 years agoNakukubali sana tena sana sheikh wangu.
@
@zrazanzibarrespectiveacade90564 years agoSafi snaa sheikh kipozeo ila lazima amana ihifadhiwe yn kwan ndo msingi.
@
@alihafidhali95894 years agoEwe allah mwingi wa huruma kwa yalio mema ya rahman allahuma amin nakwayalio maovu ewe subhanallah uliemtakatifu tusameh ya allah hakuna kitu mfano wako. ...Expand2
@
@kabaisaboy47614 years agoXawa sheikh kipozeo jazak llahu aillah.
@
@ShazeenBaby4 years agoShukran sana wallah allal akubariki ameen. 2
@
@hamisisalmah87644 years agoDetoll yani shehe hapana mchezo na ku penda fisabillilah kenya mtuombee pia in sha allah. 2
@
@truthspeaker20624 years agoKuna watu washafahamu vibaya. Kuangalia mara moja maana yake ni pale ulipoona bila ya kukusudia sio kugandisha tena. Kuna tofauti baina ya kuona na kuangalia. 1
@
@fatmaalnabhani36094 years agoNimekubaliana sheikh kwa watoto wa zinaa wanaharibu maisha ya watu wengine, mungu atuhifadhi na vizazi vyetu vijavyo, amin. 4
@
@enjiidasnan28514 years agoNakupenda sana sheikh wangu kwa ajili ya Allah Hapo kwenye kusafiri sheikh hapo wengi wana mtihani kweli.karibu kuskiliza Qur ani
@
@aidankabuko40624 years agoKama usikia shekhe anasema mwanamke asiye na mzigo kwake kwa dharula sawa, gonga like. 31
@
@latifahmilkah43714 years agoUzuri wa shehe wetu yeye usema ukweli hajui kuficha walaata. Yeye uweka kila kitu wazi tena mafunzo yake huwa na vichekesho lakini ni kweli. Ndani ya qatar doha mimi ni follower wa sheikh kipoozeo. 6
@
@mwannerajabu86884 years agoYaan wewe mtangazaji hata kusema amiin unashindwa. 2
@
@fahadsalim37424 years agoShekhee anakubali mzigo mimi ni nani nikatae. 12
@
@shamsaog29984 years agoMtangazaji uwe unaangalia maswali ya kumuuliza shekhe, co maswala ya mizigo anavyojibu maswali hayo kila mara yanaweza kumshushia heshma. 17
@
@davoo25554 years agoHata mm shekh kama ww tu napenda mizigoo. Mizigo mizurii. 2
@
@Africaisnow4 years agoKweli pande hizi hiki janga likewafanya wakumbuke mungu yuko sio mchezo. 2
@
@anipaesleiman61354 years agoShekh kipozeo mzee yusuf bado hajarejea taarab anaimba kaswida wamemnukuu vibaya tu. 1
@
@fatmaalnabhani36094 years agoJee wanaume wanaogawa amana ya wake zao itasemeka lini?
@
@allykota33924 years agoZalura iyo vp shekhe mbona unatuangusha. 5
@
@amrimzeru29134 years agoMwanamke asie na mzigo labda kwa dharula. 2
@
@salehaliy74874 years agoMzee yussuf adanganywa na pumnzi tuu huyo. 3
@
@yasinijuma66464 years agoMfiraji nae hufirwa. Chagua maneno ya kuongea respect you' re self. 1
@
@edwardmkwelele4 years agoSasa mbona wachina wenyewe hawatumii hayo mada ya mizigo. 1
@
@mussachicha92114 years agoMm mwenyewe napenda mwanamke mwembamba. 7
@
@mdzainb37224 years agoYani shekhe kipoozeo uponvizuri nakupenda san huwa haukosei unapotoa neno. 4
@
@alhaithamiy_4 years agoSubscribe channel yangu kupata nasheed qasweedah na nasaha tofaut. shukran. 9
@
@bornvillagevlog45664 years agoThis guy i doubt. He sings reggae behind kanzu. 2
@
@abisinaadili20744 years agoSheh mi ninamzigo vipi nitafutie mchumba.
@
@tumatuma64784 years agoSubhanallah eti anapenda mwenye mzigo. 3
@
@mofetyendi6914 years agoSio wewe pekee ndg wengi tunalov tatizo ujasiria wakusema ndo shida ila hata peponi wenye nyama wanatusubiri pia enjoy and don' t panic shekh.
@
@aimfetty16414 years agoShekh kasema kuna wanawake ukisafiri kidogo tu ana supply. 2
@
@mwaminiwivine28404 years agoWapeda gono niwanani duniani weyesemamishi acha maswari ya siyo faa hakuna mwenye ana juwa corona iritoka wapi bira mungu wabinguni we achaogeya ogo mbona wanaume wa wazugujo warikufa wake wa ka baki nachaina wana wa danganyiya wanakurachura njomana waripata corona. ...Expand2
@
@yasinijuma66464 years agoKwa non unapenda kuongelea matako au shoga.
@
@naamohamed99644 years agoHapo kwenye mzigo mtangazaji kapapenda san mana hadi kacheka. 2
@
@angelinahogqvist77104 years agoHuyu baba amenigusa. Ila viama upizani du wanarete sisiasa kwa haya.
@
@johsea1224 years agoMizigo, mizigo, mizigo, unaleweshe wanaume akili zao.
@
@mohdshebe56404 years agoHata na mie shekhe kipozeo napenda mke awe na mzgo ndio barbara.
@
@mohdshebe56404 years agoWanaume wote wanapenda mizigo akili hawana kwa mizigo figa.
@
@hamadmussa84024 years agoShekh wangu umekosea hapo kusema watoto wa nje ya ndo wanaleta vurugu ndani ya nchi. Kwani mimi sikutaka nizaliwe hivyo ili nilete vurugu katika nchi. Ila wazee wetu ndio wenje hatia. Lait wasingefanja wao.
@
@amihogatai84324 years agoHapo vipi kuhusu umbali? Futi sita kati ya mtu na mtu? Shehe kabolonga kidogo hapo. Marekani haijapata uhuru miaka 400 iloyopita.
@
@doctorpheisaltv62664 years agoAjabu sana atimae dawa ya bawasili imepatikana na unaweza kujitibu mwenyewe bila kutumia pesa bonyeza hapa 2
@
@user-gy8lk8te8d4 years agoSheikh hapomtu angalie maramoja, hafai kuangalia hata maramoja, ila kama ameona kwa bahati mbaya ndio hamna shida na hafai kurudisha nadwara yake.
@
@badbeats56374 years agoBackward notions. Nacheka sema its sad. 1
Related videos for SHEKHE KIPOZEO:RUKSA Kuangalia Mizigo Usipitilize/ DIAMOND/MZEE YUSUPH/ZINAA/Watu wananunua wanawake:
always our sheikh you are talking about educated and wise truths
we love your
we love your presenceso much. 40
shukran. 9