Duration 14:13

AISHI na MOYO WAKE UKIWA KWENYE BEGI ALILOTEMBEA NALO, NI ANDREW JONES, MWANAMITINDO MAARUFU DUNIANI

164 869 watched
0
1.3 K
Published 13 May 2021

AISHI na MOYO WAKE UKIWA KWENYE BEGI ALILOTEMBEA NALO, NI ANDREW JONES, MWANAMITINDO MAARUFU DUNIANI Inafahamika kwamba moyo ndiyo kiungo muhimu kuliko vyote katika mwili wa binadamu. Moyo unapoacha kufanya kazi yake ya kusukuma damu, huwezi kuendelea kuwa hai tena, huo ndiyo mwisho wa maisha yako, UNAKUFA. Inafahamika kwamba moyo wa binadamu, unapatikana ndani ya kifua, wataalamu wa Bailojia wanaita ‘breastbone’ au ‘sternum’, upande wa kushoto kidogo ya kifua na katikati ya mapafu! Sasa hebu vuta picha, unakutana na binadamu ambaye moyo wake haupo tena kifuani au katikati ya mapafu, bali kwenye begi! Anatembea na moyo kwenye begi huku mwili wake ukiwa umetobolewa sehemu mbalimbali na kuunganishwa na mirija ambayo inaingia na kutoka kwenye moyo uliopo kwenye begi! ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 312