Duration 4:15

Tazama magoli matamu Yanga ikiichapa Lipuli 2-1 Uwanja wa Taifa

105 507 watched
0
368
Published 5 Feb 2020

Timu ya Wananchi Yanga SC imeitandika Lipuli FC mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Mapinduzi Balama pamoja na Bernard Morrison wakati bao la Lipuli likifungwa kwa free-kick na David Mwasa. Tazama Vodacom Premier League LIVE na EXCLUSIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ►http://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 47