Duration 3:48

NEC yatangaza idadi ya wapiga kura uchaguzi mkuu 2020

1 094 watched
0
15
Published 1 Aug 2020

Tume ya taifa ya uchaguzi NEC imetangaza idadi ya wapiga kura zaidi ya milioni 29 ikiwa ni ongezeko la asilimia 26 ya wapiga kura wapya ambao watapiga kura kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu kwenye vituo takribani elfu themanini mia moja hamsini na tano na kila kituo kitakuwa na wapiga kura wasiozidi 500. #UchaguziMkuu2020, #UchaguziTanzania, #UchaguziZanzibar, #WapigakuraTanzania, #WapigakuraZanzibar, #IdadiYaWapigaKura #Nec, Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 3