Duration 4:54

WORLD VEGETABLE CENTER ya Arusha Yatinga NANE SIMIYU na mbinu za asili za kilimo cha Mbogamboga

171 watched
0
1
Published 1 Aug 2020

Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima NANE NANE yamezinduliwa rasmi na Kitaifa Maadhimisho hayo yanafanyika katika Kijiji cha Nyakabindi kilichopo Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu. Ikiwa tayari Maonesho hayo yakiendelea ,Wadau mbalimbali wa Sekta ya Kilimo,Ufugaji na Uvuvi wakiendelea kutoa huduma,Taasisi ya Utafiti ya Word Vegetable ya Mkoani Arusha ni Miongoni mwa Taasisi hizo. Mtafiti Msaidizi wa Taasisi hiyo Elias Shem amesema lengo la kushiriki maadhimisho hayo ni kuiona Jamii ikirejea katika Vyakula vya asili hasa Mboga mboga . Tazama Vidio hii...

Category

Show more

Comments - 0