Duration 4:7

Baada ya Yusuf Manji kuachiwa, SHERIA INASEMAJE

23 083 watched
0
58
Published 15 Sep 2017

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana September 14, 2017 ilimuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya Manji na wenzake. Sheria inasemaje?

Category

Show more

Comments - 3