Clip hii imetokana na mada Sheikh Muharram Mziwanda katika kipindi cha Fadhikkir cha tarehe 6/11/2020, Mada ikielezea MTUME MUHAMMAD (S.A.W) NI KIONGOZI WA KIPEKEE.
@ayyamirubba52262 years agoAllah amjaize kheri sshaikh mziwanda kwa ya kheri anayo tujuza.
@
@jafarisimchawionlinetv91684 years agoShukran sheikh mzeiwanda allah akuhifadhi kwakua mkweli ktkdini hii. 3
@
@muthsiboy83312 years agoTafakari! Usikubali kuambiwa hakikisha jambo kwa undani zaidi.
@
@kingdullah9233 years agoKwa nn utoe jibu kwa jambo huna elmu nalo. Hakukuwa na haja kutoa jibu kama ulivyosema allahu a3lam basi ungetosheka na hilo sababu mola ndie mjuzi zaidi. 2
@
@canoksancomprehensivelearn7182last yearWatu wa shirki huwa hawakubali haki wataitetea hata kamakuwa hii ni haramu maana allah kawapambia mabaya wayafanyayo wayaone mazuri na hata wakisikia wataona wao na albadir yao wapo sawa wataifanya mpaka wakutane na mola wao wakiwa madhalili. Allah humuongoza amtakaye na humuacha apotee amtakaye. ...Expand
@
@muthsiboy83312 years agoUkiona mashekhe kama huyu na ukipima na sira ya mtumi na visa vya qur' aan ndio utawajuwa ni waking nani hivi mtumi s. A. W. S hakuitwa mchawi? Mitumi yote hawakuitwa wachawi? 1
@
@muthsiboy83312 years agoHata zama za mtumi kulikuwa na waislamu lakini walimpinga na kujenga msikiti wao. 1
@
@muthsiboy83312 years agoSasa tafakari kama mtumi alikuwa na wapinzani kando na makafiri, mayahudi, manaswara, waislamu tu ambao kwamba kupitia mtumi ndiyo wamejua uislamu.
@
@noorululaatv89733 years agoShekh mziwanda umejibu bila inswaaf. Kwa kuwa intavieuw yko yafanywa kituo cha mawahabo.
@
@husseinkassimal-ahdaly.38244 years agoUmenunuliwa na kishki online tv. Kutoa kipande hicho cha video. Hujatoa dalili aya wala hadith. 2
@
@muthsiboy83312 years agoDhahabu nikitu thamani sana lakini iko kwenye michanga, hatuta itupa dhahabu kwa sababu ya michanga tuta chuja michanga kisha tuchukue dhahabu. navilevile. ...Expand
@
@husseinkassimal-ahdaly.38244 years agoKwa hapo tu shekh mziwanda umexhemka. Umeshindwa kubainisha kati ya dua n kutawasali katika dua kupitia majina ya watu wema. Leo unaiingiza majina ya albadiri katika shirk. 1
@
@muthsiboy83312 years agoUsiseme allaahu aalam na ushatoa hukmu. Sema anaa aalamu tena bi swaabi wewe umeshinda hata mufti.
@
@msafiridiary2 years agoAlbadir ni shilki kwa macho ya kawaida na maskio haina kupinda pinda ustaz kanyoosha maelezo.
@
@hamadatahir93074 years agoSheikh mziwanda urudi tena kutufahamisha kati ya albadiri na ahlulbadri. Jee kusoma albadiri pengine ni shirki jee kuwasoma au kuwataja ahlalbadri napo ni haramu. 2
@
@sharifisangyo80383 years agoShehemziwanda wewe nimsomikweli wahakika walioutetea uislamu kuweuchawi sikuhukumu.
@
@abdulazeezabdulazeezkwembe35694 years agoFat' ha bila ya dalili nao ni msiba. Haya mambo ya mimi naona nadhani ni km mambo ya kichaw sijui na vikorombwezo kibao jmn tuitia fitna dini yetu. ...Expand
@
@arqamibnarqam.71854 years agoSheikhzaidi utofauti kati ya albadiru na ahlulurudi utufahamishe hilo. 3
@
@muhammadmpoyamboya24232 years agoHii ndio raha ya uislam. Ukijibu kwa matakwa yako wewe. Watu hawakuelewi hata ukawa msomi kiasi gani ukiteleza watuila tusimuhukumu maana kashasema kwamba kimtazamo wakeyeye. Hajajibu kwa dalili.
@
@jamalbahdela5244 years agoKujibu kw kumridhisha aliyekuuliza bila dalili hatukuelewi.
@
@hakimhakim96313 years agoAsmau ahlul badr si uchawi kimsingi ni tawasul ila hwenda tu weng wanotumia hutumia kwa mambo yao ya ubaya.
@
@muhammadkhatwablast yearAlbadiri si uchawi ni ahlu badr yaani maswahaba waliopigana vita vya badr tunatawassal nao kenya hatuna mambo ya sindano wala ndimu ni dua tu.
@
@jailaniramadhan17882 years agoYaani we mziwanda kwa kujiproud kwako kote kule kuwa unasomesha vitabu zaid ya 20 kumbe haujui chochote? Kama ww hauna ilim ya jambo kwann ulitolee fatwa?
@
@husseinally55502 years agoHii ni ajabu kabisa. Shekh unatoa fat' wa kimtaani kabisa. Hivi ukikaa na wasomi utatoa hivo hvo auusulul fiqhi hukubahatika kuisoma angalao ukapata njia za kupita wkt wa kutoa fat' wa?
@
@husseinkassimal-ahdaly.38244 years agoNa albadiri sio lazima ndim indano nyembekusomwa tu kavu kama tawasul na mungu akaitika maombi. 2
@
@ahmedmohamed-wm5ec4 years agoHili swali jibu limemshinda huyu mufti kasem inafaa wale ni watu wa vita vya baddri 313 ukisom suo km unawaomb wao n i unatawassal kupitia kwao tukawaach. ...Expand
@
@jailaniramadhani76284 years agoHaujui al badir ni tawasul kwa watu wa vita vya alhadri.
@
@selemankishema57803 years agoMajibu hayakinaishi kabisa angalau umegundua kuwa ni makosa hicho kisomo cha ah- l nyingi zetu waislam hawakubali kabisa kuweka wasomi sijui kwa nini? Lakini wakitaka wataalamu wa kuwafungia mitambo hawaendi kuwachukua mafundi bomba ila kwenye dini sasa ndio mitihani kweli mradi upige joho tu na kofia Allah almustaanu. .....Expand
@
@alqaasim_a_tz24124 years agoSwahiyh kabisa albadri ni ushirkina na kufru tupu.
@
@shamsiaabdul86794 years ago Halbadiri kimsingi si uchawi. Ni tawassul. Tunajua tunaikhtilafiana katika swala zima la TAWASSUL. 1
@
@hasamjebe46854 years agoMh mm sina elimu lakini we shekhe cjajua ni njaa au uonekane au umenunuliwa cjui, umejibu kwa mtazamo wako au duh, ndio maana tunaambiwa tusome, ukisoma. ...Expand
@
@aishaarusha8943 years agoMziwanda unapata zambi albadiri ni kisomo. 1
Related videos for NI IPI HUKUMU YA KUSOMA ALBADIRI SHEIKH MZIWANDA:
jazakallah kheir. 3
navilevile . ...Expand
walioutetea
uislamu kuweuchawi
sikuhukumu.
ni ahlu badr yaani maswahaba waliopigana vita vya badr
tunatawassal nao
kenya hatuna mambo ya sindano wala ndimu ni dua tu.
Halbadiri kimsingi si uchawi.
Ni tawassul. Tunajua tunaikhtilafiana katika swala zima la TAWASSUL. 1