Duration 1:21

EXCLUSIVE: AUNTY EZEKIEL aelezea kuumizwa kwake na Moze Iyobo kuomba hela wanawake wengine/nimemzidi

497 452 watched
0
4.5 K
Published 24 Nov 2019

Aunty Ezekiel amefunguka mengi kuhusiana na Maisha yake binafsi ya ndani pamoja na Baba Mtoto wake ambae ni Dancer maarufu wa Diamond Platnums Moze Iyobo ambae hapa katikati waliachana na sasa wamerudiana tena, lakini pia ameelezea mengi kuhusiana na maisha yake mengine, sababu za kurudiana, tofauti yao ya kipato, bila kusahau mwanaume aliekuwa nae alivyoachana na Moze copyright of ZamaradiTV Produced by Zamaradi Mketema

Category

Show more

Comments - 1164