Siku ya Jana August 3 2021 aliyekuwa msemaji wa Simba Haji Manara aliita waandishi wa Habari na kuwashukuru wana Simba pia akazungumza mambo kadhaa ambayo yeye akadai kuwa alikuwa akifanyiwa ndani ya Simba na hakuridhishwa nayo, leo
AyoTV imemnasa Baba mzazi wa Haji Manara akiwa Dodoma ambapo tumemuuliza kuhusiana na alichoongea mwanae Haji Manara ana mtazamo gani ikiwa yeye ni mwanachama na Mchezaji wa zaman Yanga
Category
Show more
Comments - 149
Related videos for BABA WA HAJI MANARA AFUNGUKA BAADA YA MWANAE KUTOKA SIMBA HATUMTAKI YANGA: