Duration 39:9

Mabodi, Bashange, Othman Masoud na Fatma Karume kwenye mjadala mkali SUK Zanzibar

76 471 watched
0
326
Published 12 Dec 2020

Sauti ya Ujerumani leo iliendesha mjadala mkali juu ya uamuzi wa chama cha ACT Wazalendo kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa inayoongozwa na CCM upande wa Zanzibar. Washiriki wa mjadala huo ni Fatma Karume, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar Othman Masoud, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Juma Mabodi na Naibu Katibu Mkuu wa ACT Tanzania Bara, Joran Bashange.

Category

Show more

Comments - 255