@khamisihussein87772 years agoGood bless you doctor i enjoyed the lesson. 2
@
@shebbytrante70254 years agoAdhante sana doctor mafundisho yako ni bora sana mungu atakulipa. 10
@
@ambindwilehosea6837last yearAise kaka mkubwa mungu akutunze sana maana unaelezea mpaka mtu anaelewa kupitiliza barikiwa sana.
@
@musamanyinyi20462 years agoAhsante sana brother kwa mafundisho yako mazuli hakika nimejifunza kitu. 2
@
@wababyamungu26462 years agoTunashukuru sana kwa mafundisho yako docteur mungu akulipezahidi.
@
@michaelmatondo67432 years agoAsantee san dkt mungu akubariki mutumishi. 1
@
@abdullahhashimu23802 years agoHizo zote kaka ni sahihi kabbisa shukrani.
@
@yohanakayinga92793 years agoDoctor mungu aendelee kukupa uwezo hakika umesaidia wengi. 3
@
@mimsbaibe6mimsgul7373 years agoThanks for caring n sharing vipi hapo kwa mapenzi kama yuko bali n hawezi pata mapenzi. 1
@
@Eldoret943 years agoNmependa maneno yako sana problem nko kenya. 1
@
@lilyan31014 years agoThanks doctor for your classroom, i' ll visit you soon as possible, may god protect you and blesse you. 4
@
@hosianamwaikenda62483 years agoPractice makes perfect" nakubali mzee. 3
@
@dismasminja97023 years agoNakupenda sana doct najifunza mengi kupitia wewe nipo moshi. 2
@
@momanyicharles79903 years agoAsante kwa ushsuri mzuri na tafadhali saidia dawa ya magonjwa ya std and infections.
@
@kwaleboy60643 years agoWallahy broo your right. Haswa hiyo ya mwisho. 1
@
@isakaibrahim21122 years agoNafrahi sana kuendelea kujifunza mambo mengi kupitia topten tv.
@
@yudahwa-ta-seti60754 years agoChakula. Traditional african diets. No mzungu foods like sodas, salt, nk. 5
@
@abdulijumaa4964 years agoMungu akubariki na kukulinda unajua. Kufundisha. 4
@
@kadiriosmam4 years agoHallo ndugu na shida yaku fika kilele haraka inatiba? 3
@
@felixkato62832 years agoAh santee sana kaka, mm natatizo la kupiga shoo dakika tano nshamaliza jamn ndo tatizo gan hilo na hii sio kawaidaangu.
@
@theosaimon69333 years agoHilo tendo la ndoa wengine tuna miaka 2 sasa bro ugaibuni huku tunateseka sana. 7
@
@nsanzumuhirechaffy14324 years agoShukran sana dr mafundisho yako ni muhimu sana sisi rwanda namna gani tunaweza lipa kitabu. 5
@
@donaldjulius17834 years agoAsante doctor napenda sana mafundisho yako. 5
@
@hijjaathuman17902 years agoAsante sana kaka, zoez hil lifanyke kwa mud gan?
@
@sugarmillard19003 years agoThank you my brother maan hilo tatizo nilikuw nalizawazia saan. 1
@
@mpinaskid93162 years agoNahitaj namba ako mkuu kwa maongez zaid. 2
@
@josephnicodemo2463 years agoNa kwa wale hamu inaisha yakufany mapenz inakuaj apoo. 1
@
@elishangomele99373 years agoMimi nimefanya sana haya yote lakini nimeshindwa kupona uume wangu umekuwa legelege na sikuwa hivyo kabisa.
@
@nuhuramadhan57792 years agoDr me shida yangu naenda laund 1 kam dk 5 ty lkn nkirudi laund ya pili naweza kkaa kweny tendo ata masa mawili bira kufka kilelen tena je hiv kunatatzo hapo? Dr.
@
@franciskibisu33432 years agoNisaidie kujua ngiri ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini.
@
@lunahaji99284 years agoDokta dawa yamtu aliyoasilika na punyeto iyo daw inapatikana kwa bei gan. 6
@
@swaphiatysaid53322 years agoTusaidie dawa ya kuimarisha misuli ya shingo kwa mtoto asiyeiweza shingo yake vzr tafadhal.
@
@anordlaurent87513 years agoHiyo ya kushiriki mara kwa mara kwangu changamoto coz nimeokoka mm. 1
@
@abongaebuka7983 years agoNaitaji iki kitabu tafadhali, niko kongo.
@
@saulmwakyusa10014 years agoNimekuelewa doctor lkn kufanya mara kwa mara c utakua umalaya? Au kwa mkeo tu mara kwa mara? Ahsante kwa mafundisho mazuri. 4
@
@kurugoaliy52234 years agoNa ndio maana mababu zetu walikuwa hawavai nguo za kubana hatimae wakawa wana nguvu kupita maelezo 100% nakukubali. 7
@
@bizichachachartiel82404 years agoWengine wanasema ukinywa maji ukimariza kura nivibaya saasa jioni itakuaje ukinywa maji. 3
@
@shakiraally63804 years agoMume wangu hataakishiriki hazitok kabisa spum. 5
Related videos for Rudisha Nguvu za Kiume bila Dawa: