Duration 6:54

“Niliponea kufa baada ya kumuibia Mwanajeshi -MKALIWENU

119 903 watched
0
825
Published 2 Oct 2018

Miongoni mwa matukio ambayo huwenda hukuwahi kuyafahamu ni pamoja na hii kutoka kwa staa wa uchekeshaji na Bongo fleva Jackson Supakila Maarufu kama Mkali Wenu ambaye amefunguka mbele ya camera ya Ayo TV kuhusu baadhi ya matukio aliyowahi kuyapitia kabla ya kuwa maarufu ikiwemo tukio la kuponea kifo baada ya kumuibia mwanajeshi.

Category

Show more

Comments - 98