Duration 36:42

DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI

287 558 watched
0
2.5 K
Published 21 Aug 2020

DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI Julai 2, 1925 katika ardhi ya Congo alizaliwa mtoto wa kiume katika viuno vya Mzee François Tolenga Otetshima na tumbo la Bi Julienne Wamato Lomendja, akaitwa jina lake Elias Okit’ Asombo yaani  Mrithi wa Aliyelaaniwa, Asombo akakua katika kimo na akili, akasoma, akajielewa, akabadili jina lake na kujiita Patrice Lumumba, akafanya kazi sehemu mbalimbali nchini, akaingia kwenye siasa kuikomboa Kongo kutoka kwenye makucha ya Wakoloni wa Ubeligiji, Mabeberu wakamuua na kisha kumkatakata vipande na kumyeyusha kwenye pipa la tindikali, Lumumba akapotea Duniani lakini fikra zake zikabaki zikiwasumbua watu wanaoamini Afrika haiwezi kujilisha bila kuomba nje! JE,UNATAKA KUTANGAZA NA ANANIAS EDGAR TV? WASILIANA NASI KUPITIA: +255659982764 /+255629977724 EMAIL: ananiasedgartv@gmail.com Follow Us On Instagram https://www.instagram.com/ananiasedgartz https://www.instagram.com/ananiasedgartv SUBSCRIBE https://bit.ly/2ZWGBXo Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. ______________________________________________________________________________________________ SIMULIZI ZA MATUKIO: https://bit.ly/2XlNCzg HISTORIA ZA VIONGOZI: https://bit.ly/3ezWg2X ELIMU ZA UKOMBOZI: https://bit.ly/3eCOK7m

Category

Show more

Comments - 221