Duration 7:30

KASI YA ALLY HAPI TABORA WASAIDIZI WAJIPANGE “MAGARI SIO SABABU YA UFAHARI, NITASHUGHULIKA NAO

47 167 watched
0
249
Published 27 May 2021

Mkuu wa mkoa wa Tabora Ally Hapi ameanza kazi kwa kukutana na makundi mbalimbali na katika mkutano wa kwanza na wazee wa mkoa wa Tabora ameelekeza wasaidizi wake kusimamia haki kwenye kesi za migogoro ya Ardhi Hapi amewatahadharidha wote waliodhurumu haki za wananchi wanyonge kuzirejesha kabla hajachukua hatua za kimamlaka “Tutahangaika na shida za wanatabora usiku na mchana kwenye mvua na kwenye jua na nmekwisha kuelekeza watendaji wote wakae sawa hizi sio zama za kukaa ofisini na ndio sababu mheshimiwa rais ametupa magari sio sababu ya ufahari” “Nikiona kero yoyote inakuja kwangu mimi mkuu wa mkoa halafu mkuu wa wilaya hajaifanyia kazi mkurugenzi kafunga milango hataki kusikiliza watu mtendeji wa kata anasema nenda mkoani wakati wote tunalipwa na serikali ya mama Samia nitashughulika na huyo mtu” Ally Hapi RC Tabora

Category

Show more

Comments - 167