Duration 11:1

ONDOA CHUNUSI NA MADOA USONI KIRAHISI

87 632 watched
0
581
Published 23 Sep 2017

Kwenye video hii nimekuonyesha mbinu niliyotumia kuondoa usoni chunusi na madoa sugu kwa muda mfupi. Brush inapatikana kwenye page yetu ya Instagram: Wajasiriamali_tz Please share na subscribe ili kupata video nyingi kila zinapopostiwa

Category

Show more

Comments - 239