Duration 1:41

LIVE IBADA YA MAOMBI | | SOMO ` MJI HUU ULIKUWA KITOVU CHA KAZI YA KRISTO | | NA STEVEN NGUVILLA

85 watched
0
0
Published 15 Dec 2021

Ibada Ya Maombi Jumatano- 15,12,2021 Karibu kuungana nasi katika Ibada maalum ya Maombi siku ya jumatano ya leo Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji kwa namba +255 677 048 069 au +255 784 458 957. Kama una ushauri usisite kutuma kwa namba +255 713 343 939 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz. Tunapenda kukujulisha kupitia channel hii, kuna vipindi mubashara mbalimbali kila siku jioni kama; Ongeza Ujuzi, Afya ni Mtaji, Kona ya Watoto, Lijue Kanisa na Ibada mbalimbali na maombi. Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz Mungu akubariki.

Category

Show more

Comments - 0