Duration 3:35

SABAYA ALIKUTWA NA SIMU 10 NA BASTOLA, SHAHIDI ALIYEMKAMATA USIKU ATINGA MAHAKAMANI

15 138 watched
0
78
Published 7 Dec 2021

Shahidi wa 11 upande wa Jamhuri ambaye ni Mpelelezi wa TAKUKURU Shabani Hemedi amesema alimkamata aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake katika eneo la Kigamboni kwenye apartment za oasis Dar es salaam saa tisa usiku may 27 akiwa na bastola na simu 10.

Category

Show more

Comments - 33
  • @
    @johnmalembo64643 years ago Haya nayo yatapita. Ee mwenyezi mungu tubariki na kutuokoa watoto wa tz. 4
  • @
    @felixhaule70713 years ago , sabaya anakula kwa urefu wa kamba yake, hakika what goes around comeshuyu jambazi endeleeni kumtetea. 7
  • @
    @lunyamusicproduction3 years ago Sawa. Weka like kama umeona nko top first. 1
  • @
    @hassanhamudy9823 years ago Mmh hakika usilolijua nisawa na usiku wa giza kumbe kunamakubwa zaidi. 1
  • @
    @simonnick12423 years ago Sabaya mungu akutetee maana mpaka wawamalize kikosi cha magu pole baba. 1
  • @
    @mariamkansiimekaluganda71543 years ago Kwani kuna limiti ya simu hapa inchini? Hata 100. 4
  • @
    @jimjam41483 years ago Wakati mwigine mm uamini kauli za lema. 1
  • @
    @reginamanyangu66822 years ago Mimi nina cm nane na nimenunua kwa pesa yangu ni kesi jomon.
  • @
    @peaceisrael81583 years ago Mungu akutetee hamna gumu lolotejust a matter of time. 1
  • @
    @mariamkansiimekaluganda71543 years ago Yaanaongezewa tu wamepata mwanya wachaga hao lakini hakuna lisilo na mwisho yataisha tu! Sabaya mungu yupo wengi wanakuonea huruma. 4
  • @
    @mariamkansiimekaluganda71543 years ago Huyu mwanamke ndio aliyoenda na hizo simu chezea wachaga hao. 1
  • @
    @margarethsolomon98233 years ago Mhuuu hatari, yamekuwa simu na bunduki tena! Ninaanza kusinya sasa duuiuu.
  • @
    @aishaalbalushaishabalush82913 years ago Sasa cm nyingi zinawahusu nini serkal mbona mie natmia cm 21 na serkal hawamind acheni ujinga jamani siraha binaadam yeyote anakuwa nayo kwa ulinzi wake dah ila we samia wewe mungu yupo insha allah.
  • @
    @rastafare8783 years ago Yaani nyinyi munaemtetea munashangaza sana yote haya sijui ni ukosefu wa kutokujua na kuvamia mambo, ahh kweli watu wa africa ni weusi na akili zetu ni . ...Expand 1
  • @
    @sportsextra47953 years ago Sasa ile miaka 30 ni kosa gani? Na mbn amehukumiwa na kesi bado inaendelea tuu. 1
  • @
    @mariamkansiimekaluganda71543 years ago Kesi ipi miaka30kesi ipi i endelea sasa ni ya simu? Au yani mke wa mtu? Au simuzimekujaje tena huku gerezani? 2