Duration 1:51

MZEE WA KILWA AGUSWA NA ZIARA YA KATIBU MKUU KWENYE MASHINANI. CCMApp

162 watched
0
0
Published 17 Sep 2021

MZEE WA KILWA AGUSWA NA ZIARA MASHINANI Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo akiendelea na ziara yake Mkoani Lindi, amekutana na Mzee Mohamed Angema ambaye ameguswa na utaratibu huo wa Chama kutembelea, Kukagua Uhai wa Chama na kusikiliza Wanachama ngazi za Mashina. #CCMApp

Category

Show more

Comments - 0