Duration 8:24

MWILI WA ASKOFU.MWENISONGOLE WAAGWA DAR /WACHUNGAJI WAZUNGUMZA /AMEACHA ALAMA.

332 watched
0
5
Published 29 Dec 2021

Mwili Wa Hayati Askofu Prof. Ranwell Mwenisongole Wa Kanisa La @cccupanga Umeagwa leo kanisani Hapo,Tukio hilo la Kutoa Heshima za Mwisho limehudhuriwa na Maaskofu,Wachungaji ,Viongozi Wa Serikali na Waumini Kutoka Madhehebu mbalimbali. Ibada Ya Mazishi ya Prof Mwenisongole inatarajiwa kufanyika Tarehe 30 Dec 2021 Katika Jimbo la TAG la Songwe Mashariki Huko Vwawa Wilaya Ya Mbozi Mkoa Wa Songwe Kuanzia Saa 3 Asubuhi .

Category

Show more

Comments - 0