Duration 3:44

Majirani wasema Lawrence Warunge alikuwa kijana mpweke

146 683 watched
0
719
Published 12 Jan 2021

Mauaji ya jamaa wa familia moja katika eneo la Karura kaunti ya Kiambu bado ni kitendawili huku maswali mengi yakisalia kuhusiana na taarifa ya mshukiwa mkuu Lawrence Warunge. Majirani na hata waliofahamu familia hii wakizungumzia walivyomfahamu Lawrence, kijana wa miaka 22 aliyekiri kuwaua wazazi wake na nduguze wawili.

Category

Show more

Comments - 278