Duration 2:18

Jinsi Ya kukuza Nywele Kwa Haraka Na Kuzifanya Kuwa Nyeusi Kwa Kutumia Kitunguu Maji Tuu

96 242 watched
0
431
Published 13 Jan 2020

Category

Show more

Comments - 43
  • @
    @zuleyfatkihari36504 years ago Pole kwa kuumia kidole na asante kwa kujali maana hukujali umeumia na bado ukatuletea clip. 4
  • @
    @zainabukaz59072 years ago Kama sna shampoo ya alovera naweza kutumia shampoo yoyote unawe. 3
  • @
    @songorokasisiko51288 months ago Mchanganyiko huu naweza kuchangaya na steaming ya dukani?
  • @
    @fatmajaffar91183 years ago Je ukitengeneza hivyo waeza ku bakisha uka tia na kesho. 3
  • @
    @neemakileo39838 months ago Unatumia kia siku mpaka wiki iishena je hupaki mafuta yoyote wakati unaendelea na zoezi hili?
  • @
    @parisspatz18802 years ago Unavyo menya hivyo inatakiwa na mm nifunge plasta kidoleni. 1
  • @
    @hussnabakary35074 years ago Vip kama watumia shampoo tofaut na co a lover.
  • @
    @giftsirya26632 years ago Km huna sabuni ya maji unaeza tumia ya kipande.
  • @
    @kikie_chyna4 years ago Sasa hayo ni matone machache ya mafuta? 3
  • @
    @fatmajaffar91183 years ago Kama huna shampoo waeza kuosha na sabuni ya maji. 4
  • @
    @al.nufaisykhamisi24982 years ago Mm naulizia hiyo dawa uliweka kwa kijiko jee ni kahawa hiyo or ni dawa gani mana sijaielewa hiyo dawa ya unga niambie.
  • @
    @bintrashid69673 years ago Je kama sina mafuta ya nazi naweza tumia ya zaitun.
  • @
    @hellenashely21674 years ago Sorry hiyo kitu nyeusi ni nini? Hukuandika. 2
  • @
    @maurinesimiyu91154 years ago Nakama sina mafuta ya nazi nitafanya aje. 1
  • @
    @rahmandegeulaya39273 years ago Kwa iyo mgululizo lila ck at mara ngap kwa wik.
  • @
    @msport37194 years ago Kaka nicheck no. Hii whatsapp 0674889037 kuna jambo tuzungumze.
  • @
    @tinabrown49493 years ago Wiki moja mfululizo ama kila baada ya wiki? 3