Duration 7:55

Kalonzo Musyoka asema hata muunga mkono Raila Odinga

39 799 watched
0
179
Published 29 Dec 2019

Kinara wa wiper kalonzo musyoka sasa anasema hayuko tayari kumuinga mkono tena kinara wa odm raila odinga kuwania urais, iwapo atakuwa na nia hiyo. Katika mahojiano ya kipekee na runinga ya citizen, kalonzo ametangaza kuwa atakuwa katika kinyanganyiro cha kumrithi rais uhuru kenyatta mwaka wa 2022 na kupuuzilia mbali madai kuwa yuko kwenye karata za naibu rais william ruto kwenye kinyanganyiro hicho.

Category

Show more

Comments - 164