Duration 3:48

UJENZI WA BARABARA BADO CHANGAMOTO MBAGALA WANANCHI WATEMBEA KWA MIGUU KWENDA MAOFISINI

246 watched
0
2
Published 31 Jul 2021

Akiripoti mwandishi wetu baraka ngemba toka maeneo ya mbagala terminal paka mtongani kumezuka Foleni kubwa ambayo imezua kizazaa cha watu kutokufika maofisini mwao kwa wakati baada ya ujenzi wa barabara ya mwendo kasi kilwa road kutokamilika kwa wakati japo juhudi kubwa za kufanya kazi usiku na. nchana zikiendelea wakazi wa mbagala bado wakiendelea kuilalamikia serikali kuwa wakandarasi watafute mbinu mbadala ili kuepusha foleni zisizo za lazima..

Category

Show more

Comments - 4