Duration 4:36

KWAHERI CORONA | MRISHO MPOTO AIFUKUZA COVID-19 | MIKONO SAFI TANZANIA SALAMA

106 343 watched
0
766
Published 23 Mar 2020

Habari Mtanzania mwenzangu, Mimi naitwa Mrisho Mpoto. Napenda kukualika uungane nami katika vita dhidi ya janga la Corona kwa kusikiliza wimbo huu maalumu kuhusu Corona ambao nimeufanya kwa kushirikiana na THT. Naamini kwa pamoja tutashirikiana kulishinda janga hili. Mungu Ibariki Tanzania. #NanawaMikonoKulindaNchi #MikonoSafiTanzaniaSalama

Category

Show more

Comments - 140