Duration 10:4

SIMBA DAY: Masau Bwire Kuwa Msemaji wa Simba Sikia Alivyofunguka Jezi za Simba Kutakiwa Nje ya Nchi

60 150 watched
0
233
Published 19 Sep 2021

Msemaji wa Ruvu Shooting @masaubwire amevunjabukimya na kujibu tetesi zilizokua zimhusisha kujiunga na @simbasctanzania kama Msemaji wa Klabu. Akizungumza Mapema hii na Waandishi wa Habari alipokuwa akiongea Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam, Masau amesema yeye ni Mwanamichezo hivyo hawezi kujitenga na Matukio Makubwa ya Kimivhezo gente taswira ya Kitaifa Kama Simba Day. Alipoulizwa kuhusu yeye (Masau Bwire) kutumiwa Oda ya Jezi za Simba kutoka Mataifa ya Nje ya Tanzania Masau Bwire ametoa Majibu mengi, zaidi Fuatilia kutazama Mahojiano hayo kwa urefu zaidi kupitia YouTube Channel yetu BM TV TANZANIA. #BmtvTanzania #SimbaDay #MasauBwire SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1

Category

Show more

Comments - 26