Duration 2:31

WAHUDUMU WA KUJITOLEA NGAZI YA JAMII RUVUMA WAPEWA MSAADA WA BASKELI 15

218 watched
0
1
Published 30 Jun 2021

WAHUDUMU 15 wa kujitolea ngazi ya Jamii ambao wamekuwa wanafanyakazi ya kuwasaidia watoto wa kaya masikini 423 mkoani Ruvuma wamepewa msaada wa baiskeli ili kuwasaidia kutoa huduma kwa jamii. Msaada huo umetolewa na Shirika la Social Action Trust Fund(SATF) kwa udhamini wa mfuko wa dharura wa Rais wa Marekani wa kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI(PEPFAR), kupitia mfuko wa Balozi wa Marekani nchini Tanzania

Category

Show more

Comments - 0