🔴 ELECTRIC FENCE.
🔺Kwa huduma nzuri za kuwekewa
ELECTRIC FENCE kwenye eneo lako,
Fundi umeme Tz ndiyo
tutakaokufanikishia hii huduma.
🔺Fence hizi ni imara na na bora kwa usalama wako na familia yako na mali zako ,
🔺Imarisha ulinzi wa eneo lako sasa
🔺Gharama ya fence hii ni Tsh.
22, 000/= tu kwa mita moja, ambapo
itajumlisha gharama ya vifaa na
ufundi
🔺Jihakikishie usalama wako na
eneo lako kwa kuweka electric fence,
pia unaweza ukaweka na CCTV
cameras ili kudhibiti kabisa uhalifu wa aina yoyote ile.
➡️KARIBU SANA KWA KAZI BORA NA YENYE UFANISI
0710201330
TUPO MBEZI BEACH
Category
Show more
Comments - 1
Related videos for ELECTRIC FENCE - FENSI YA UMEME: