Duration 4:23

OMMY DIMPOZ AFUNGUKA KAMA NISINGETOA NAI ENZI ZILE BASI NINGEIBUKIA BSS

16 128 watched
0
178
Published 9 Sep 2021

Ni September 8, 2021 ambapo imefanyika hafla ya uzinduzi wa msimu wa kumi na mbili wa Mashindano ya Bongo Star Search 2021. Sasa miongoni mwa Majaji waliozungumza katika hafla hiyo ni Ommy Dimpoz ambapo aliweza kuelezea yale aliyojifunza na aliyoyapita enzi za Nai Nai.

Category

Show more

Comments - 10