Duration 28:3

MEDICOUNTER: KUBEMENDA MTOTO NDIO NINI JE, KUNASABABISHWA NA NINI

24 031 watched
0
127
Published 23 Apr 2019

Umewahi kusikia kuhusu "kubemenda mtoto"? Je, ni imani au ni hali iliyopo kisayansi? Mtoto anayedhaniwa kubemendwa anakuwaje? Nini kinapaswa kufanyika ili kumsaidia mtoto aina hiyo? Fuatilia haya yote ne mengine mengi kwenye kipindi hiki cha MEDICOUNTER ambapo Dafrosa Prosper anazungumza na daktari bingwa wa magonjwa ya watoto Moses Karashani.

Category

Show more

Comments - 12