Duration 40:00

LIVE: SIMBA Wafunguka ISHU ya MORRISON - WANAOENDA FIFA WAENDE, TUTAKUTANA, SISI NI NEXT LEVEL

119 501 watched
0
649
Published 13 Aug 2020

🔴#LIVE: SIMBA Wafunguka ISHU ya MORRISON - "WANAOENDA FIFA WAENDE, TUTAKUTANA, SISI NI NEXT LEVEL" UONGOZI wa klabu ya Simba, kupitia kwa afisa habari wake, Haji Manara, wamezungumza na wanahabari kuhusiana na masuala mbalimbali yahusuyo klabu hiyo ikiwa ni pamoja na uzinduzi wa nembo yao mpya, kutambulisha wachezaji wao wa msimu ujao, lakini pia kuhusiana na mchezaji wao mpya, Benard Morrison, ambaye ameshinda kesi yake jana TFF dhidi ya waajiri wake za zamani Yanga SC... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 235