Duration 7:37

HAIWEZEKANI

Published 10 Jun 2019

Kwaya ya Vijana Keko KKKT - KvK Wimbo: Haiwezekani unaobeba jina la album. Maudhui ya wimbo huu ni kwamba hauwezi kumtumikia Mungu pamoja na miungu kwa wakati mmoja. Lazima uchague kushikamana na kimoja. Barikiwa sana!

Category

Show more

Comments - 711
  • @
    @candidmusings4 years ago Who else is here from the njaanworry memes 602
  • @
    @MWALUJEJE4 years ago Who else was brought here by memes😅😅😅😅 234
  • @
    @jilokizito17055 years ago Who else is here after that YY Comedian clip on social media? 220
  • @
    @shalomkyalo59394 years ago Those who didn't search this song then it was recommended to you... 😂😂😂😂 218
  • @
    @shankerubo90594 years ago I'm here after Njaanuary memes🤣🤣🤣
    But this dancing is liiit🤣😂😊
    138
  • @
    @Otekos4 years ago When God uses meme plugs to unknowingly promote your song!
    167
  • @
    @attunelson88284 years ago Wimbo mzuri sana na wameimba vizuri sana lakini cheza ya hao wanaume mh! Inatia shaka.wamejilegeza kama Masada kha 8
  • @
    @brownjaffaly11724 years ago kumbe memes zinaweza fanya twende mbinguni 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 18
  • @
    @vicvic97924 years ago Hahahahahahaha finally I found it. Don't pretend hamuoni the two gents 😆😆😆😆😆😆😂😂 107
  • @
    @georgekamau75924 years ago Who else is listening to the whole song after the meme video ya njaanuary? 🤣 Like for yes 91
  • @
    @Rhyzller5 years ago SDA Sound, Lutheran Dance moves💃. Beautiful song 71
  • @
    @mpelienock4 years ago Mbali na uzuri wa message ya wimbo huu nimependa ilivyochezwa kipekee (dancing) naipenda sana, na ujumbe mzuri sana. 4
  • @
    @magrethkimungu90432 years ago Huuu wimbo umenibarika sana love songs 💕💕 1
  • @
    @kuigana5664 years ago Figures after all the trending memes I'd find this song on my recommendations. Beautiful song. Beautiful voices. Amazing message. I love it. 45
  • @
    @kosikostuitoek4 years ago I am amazed by the two gentlemen. They know their thing 17
  • @
    @alexismutembei50054 years ago Nice message it is.. Applause for the entire choir.. But the guy with spects is just extra😂😂 15
  • @
    @johnouma81344 years ago The choir members should thank YY, he is the real brand ambassador of this song,,a lot of views in a period of less than 48 hours. Viva. 21
  • @
    @johnsonmnkongoki74364 years ago wimbo mzur ujumbe mzuri
    ila style ya kucheza hio hapana jamani
    3
  • @
    @sigallalwiddy53464 years ago Mungu awalinde sana kijana wa sasa kumbuka sodoma na gomala 1
  • @
    @ivanbusumbiro64293 years ago Mfanye mbatizwe mnaimba kisabato safi sana, huko kudance Yesu atakuondoa tu. 1
  • @
    @lorrainelollio90714 years ago 😁 after kuwekwa Meme, YouTube recommends it. Didn't know Lutheran choir wana similarities na SDAs 💙. 11
  • @
    @cheiknamouna20583 years ago Nimeonea Tik tok nikasema wacha nikimbie kuangalia vizuri 2
  • @
    @rubymarabu4 years ago Aaah finally I found the 'haiwezekani song' 5
  • @
    @aiyasageo25724 years ago Nani yuko hapa due to the viral video on kukopa in Njanuary. These guys sing and dance so well . I can't get enough of this song.
    Kwaya ya vijana Keko Lutheran Youth Choir - KvK capitalize on this chance and spread the word of God all over. ...
    3
  • @
    @thomasanthony62924 years ago Ujumbe mzuri! ila mnavyocheza na hao wanaume wananenguanengua ni onyesho hata nyie hamumchezei Mungu ila ibilisi,Ningewashauri muimbe vizuri kwa maadili mazuri ya kikristo 5
  • @
    @directordyngo2653 years ago Aliyetunga step za kucheza .. Apewe cheo 1
  • @
    @husnahassan21243 years ago November 2021 bada ya kuona memas 😂😍❤️❤️❤️ 2
  • @
    @shirungati60984 years ago hehehehehe, whatsapp status brought me here! 😂😂😂😂😂😂
    machamenini, haiwezekani!!😂😂😂iiii mama kayai 😂😂😂😂😂
    16
  • @
    @zinogalgreater63764 years ago Tales of Kenner Crazy hapa ndo umenileta ni sawa tu Bora message imeingia 1
  • @
    @latelajunior4 years ago message sent and delivered but the dance is lit😅😅 2
  • @
    @lincoinmacharia32094 years ago Uhuru tufungulie inchi .Haiwezwkani 🤣🤣 brought here by memes like pliz my comment 1
  • @
    @mlongojane86714 years ago You see when you serve God with one heart He makes a way for you to succeed. Expect more views 9
  • @
    @neyemman91774 years ago Am happy to see you. Mwl wangu wa sunday school Kenneth Magawa........am always proud of you always and remembering you..my childhood church kkkt keko❤ 6
  • @
    @ephraimlewanga200211 months ago Mungu awabariki vijana wa Mungu, Mungu azidi kuwainua ktk kumtumikia yeye adi uzeeni
  • @
    @collinsabuma76144 years ago I'm an SDA, the best dance and song ever😂😂😂😂😂 14
  • @
    @samwanyoike1934 years ago Great song..even the dance.The pple complaining should gerrarahia 6
  • @
    @kennytv88753 years ago Esther kazungu on Twitter brought me here 1
  • @
    @anesiusalbogast4678last year Bonge la nyimbo, sauti nzuriiiii, nyuso za furaha na vibee yaani daah 😍😍 1
  • @
    @omarijunior76095 years ago Mko tu sawa. Lakini hizo haga sijui mbona mnatuanikia. 5
  • @
    @nimwanagerald68265 years ago Mfalme Daudi alicheza mpaka akavua koti kagaragara chini chezenii mtakavyo 6
  • @
    @ruthleonard29584 years ago Mungu Wa Mbinguni awabariki sana,kila nikiusikia huu wimbo nayatafakari Maisha kwa kina.
    Mungu atuwezeshe kumshika yeye tu.
    1
  • @
    @wincieysworld184 years ago Wooowww kweli haiwezekani kutumikia Miungu mingi 2
  • @
    @bonnygitau54924 years ago If you believe this choir is lit 🔥💯 piga like 4
  • @
    @enockchaula62924 years ago mbarikiwe sana japo mmeimba kama wasabato kumbe lutheran kanisa lenye hekima ya mungu hongera wana wa yesu 1
  • @
    @lewis804 years ago The message is very powerful 🔥
    The dance tho.. it's insane 😜
    And they sing like SDAs
    12
  • @
    @voiceflowstudioz3 years ago YOU SHOULD JOIN SDA CHURCH PLEASE..YOU REALLY SING BEAUTIFUL 3
  • @
    @katush79594 years ago Aki January meme brought me here🤣🤣🤣,the song is really powerful but the dance aii🤣🤣🤣🤣 5
  • @
    @brightonshoo63122 years ago ..I searched.. haiwezekani sda song😁..🙏 1
  • @
    @dayanahothman9934 years ago Haiwezekaniiiii😂😂😂kukopeshwa hela January 1
  • @
    @faithmuriuki99164 years ago Great message..😍
    Haiwezekani kurukisha mwaka indoors ju ya curfew though..
    1
  • @
    @felixsaruni3044 years ago Who else was brought here by the tales of crazy kennar😂😂🖐️💯 2
  • @
    @graceulimboka47215 years ago nimeuza gari na CD player ya haiwezekani ndani ni shida imewabamba wameifurahia mno,MBARIKIWE SANA 3
  • @
    @gatetembugua36514 years ago 19,058th viewer courtesy of the Kenyan njaanuary memes. Heshimu hii industry 😂😂😂😂 7
  • @
    @nunugetsoftware73734 years ago Kazi Nzuri ujumbe mzuri sauti nzuri mpangilio mzuri, Mungu awabariki katika Huduma yenu, zingatieni kushika neno na kutenda neno. 1
  • @
    @anielbornclif58775 years ago Great song,great dance, gone are the days when sda songs were song assuming a very stiff posture and a sad face like one is going to cry the next minute. This songs is just that: beautiful! 7
  • @
    @merilynmamayao82694 years ago The dance ... Killed the showed..
    NIOKOLEE KAKITU HII NJAANUARY... 😂😂
    1
  • @
    @gichuru_johnn.45104 years ago Forgive me Father - from the memes, I never thought this was a gospel song. Hit like if you are like me 23
  • @
    @dianawangui36984 years ago WhatsApp itafanya nijue nyimbo nyingi za choir.
    Interesting dance too.
    Good message too haiwezekani kutumikia mabwana wawili.
    1
  • @
    @olivianyasunah70974 years ago This was recommended to me😂😂😂.... You tube prolly seen them Njaanuary memes trending too 😂😂😂😂 7
  • @
    @leonardmsuya78964 years ago wimbo mzuri sana (msingecheza cheza mnapoteza attention ya mtu )
  • @
    @staceywashington31194 years ago Haiwezekani🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌 Tanzania nakupenda kwa moyo wote 2
  • @
    @winnieayuma58104 years ago Memes are very important i could i have known such a good song exists. 5
  • @
    @tigerchristmas54914 years ago Asifiwe Mungu wa mbinguni kwa ajili yenuu
    Classic song
    Classic voices
    Great message
    2
  • @
    @davidsamoei15854 years ago I like the song, but the video should be rated 16 , especially the part of the color man. the dance is perfect. 5
  • @
    @doriskingori37693 years ago Can't ever get enough of this song. Just amazing 7
  • @
    @EliMwanza4 years ago Youtube just recommended this to me after the trending January meme 😂😂 you gotta love Kenyans 😂😂 7
  • @
    @serahmwangi85774 years ago For the love of memes. Yani mtu anaweza teguka akifuatana na memes 20
  • @
    @noelmatemba18085 years ago Kweli haiwezekani! Mnajua sana kuimba ,Mbarikiwe sana 3
  • @
    @joshuamamchonyi84443 years ago Nabarikiwa sana ninaposikia nyimbo za vijana hawa 1
  • @
    @daud87854 years ago Wimbo mzuri,ujumbe mzuri, LAKINI mmeboronga mlipocheza,halafu ukiangalia wimbo ungewaongoa watazamaji was video hii,badala yake watazamaji wanaconcentrate kuangalia mnavyonengua. Fanyieni comments hizi. MUNGU AWBARIKI. 3
  • @
    @ailarsdavid47595 years ago . Mbarikiwe nyote 👍 2
  • @
    @kosikostuitoek4 years ago Lways coming back for the guy with spectacles ...
  • @
    @ruthmomanyi76084 years ago Here coz of the njaanuary meme lol. Kenyans you're on another level 🤣🤣 4
  • @
    @lilylilian47914 years ago Why was this song recommended to me? Anyway Haiwezekani😅 12
  • @
    @monicahkibe18633 years ago I will never miss this song it is the best.
    It was my son who showed me this.
    2
  • @
    @neymahlaika19534 years ago I realized why I like listening to gospel songs ts cause of their words of God. Am choir lover. 2